Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 4,748 Reaction score 7,061 Jul 30, 2024 #61 Arovera said: Diamond Ni yanga simba alikua kibiashara kama Ali kiba ni yanga damu na simba yuko kibiashara, wasanii huangalia fedha, hapa tunaongelea lopolopo, diamond bila kulipwa mamilioni unadhani angemfuata haji? Click to expand... Nakumbuka, Haji alivyoenda Yanga, Diamond alitangaza kumfuata, na kusema anaachana na Simba.
Arovera said: Diamond Ni yanga simba alikua kibiashara kama Ali kiba ni yanga damu na simba yuko kibiashara, wasanii huangalia fedha, hapa tunaongelea lopolopo, diamond bila kulipwa mamilioni unadhani angemfuata haji? Click to expand... Nakumbuka, Haji alivyoenda Yanga, Diamond alitangaza kumfuata, na kusema anaachana na Simba.