Haji Manara jitathimini kuwaita wenzako takataka

Hii team imejaa lawama kama mawifi na watoto wa kambo ,au wamama wa kikoba waliotunza kwa mweka hazina ambaye namba imefungiwa na tcra ,milawama lawama tu
 
Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje
huyu kijana....hivi watu wakianza kumnyanyapaa na ile hali yake atalalamika anaonewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…