Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Ni takataka tu anayeweza kutambua taka taka mwenzake. Huyu jamaa mnafahamu fika kuwa siyo wa kawaida na hivyo mnapaswa kumsamehe tu.Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje