Haji Manara jitathimini kuwaita wenzako takataka

Haji Manara jitathimini kuwaita wenzako takataka

huwa namuhurumia sana simba ikitandikwa mabao maana moyo huwa unataka kumtoka.

dawa yake huyu ni kuifunga Simba
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kwani kamtaja nani takataka hapo..ama ni uzwazwa wenu? Kuna mahali kataja mtu hapo kuwa ni takataka?
Wew nae usiwekama mtoto mdogo
Hivi had hapo unazan manala anamwongelea Nani
Kubalini tu KUA anamdomo mchafu

kelphin kepph
 
Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje
Huyo hajitambui huyo ana vurugu za mawazo, watu wa saikolojia wanajua.
 
Acha ujinga wewe yeye Kuwait's wenzake takataka unaona sawa??

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo mimi ni mjinga?hivi kukaa nyuma ya kibaobonye na kuanza kutoa lugha chafu kwa watu usiowajua huogopi?jiangalie sana bwana mdogo.....tatizo hii mitandao mumechelewa sana kuijua ndio maana,ila wewe nitakuonesha mfano ili utoe ushuhuda kwa wengine........
 
Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje
Zeruzeru ana matatizo ya akili
 
Mpira ni burudani na kusaka ushindi, sasa Morrison anatoa burudani na vilevile anachangia ushindi wa team. Ama Manara hajui kwa nn soka ni burudani!! Huwa namuona kuna waya zimekata kuchwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje
Since hivyo tu...huyu jamaa Kama kiongozi ana maneno ya ovyo mno...hafai kuwa kiongozi kabisa...ana maneno ya dharau na udhalilishaji kwa timu pinzani utadhani ni mshabiki wa mitaani wakati yeye ni kiongozi. Upo wakati aliwahi kusema yanga ni sawa na mgonjwa ambaye daktari ampige sindano mgonjwa sehemu ipi ya mwili angekuwa ni huko ulaya angekuwa amishafungiwa tayari.
 
Back
Top Bottom