Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubunge WA wapi?Si ndio maana ni zeruzeru. Saiz huo ubunge anausaka kwa gharama yeyote
Dumelang
Jambo ambalo haliwezekani kwa sasahuwa namuhurumia sana simba ikitandikwa mabao maana moyo huwa unataka kumtoka.
dawa yake huyu ni kuifunga Simba
Yeye anausaka ubunge, analipwa pesa nyingi sana kwa kupiga domo, na ana mikataba na makampuni mbalimbali, ..tukuulize Wewe hapo unasaka nini dogo ,Si ndio maana ni zeruzeru. Saiz huo ubunge anausaka kwa gharama yeyote
Dumelang
Watu masikini bwana mna shida sana ...Huyu Sope ni chizi kuliko masope wote nchini
We unajua anamwongelea nani? Mbona mnapenda kudhahania mambo watanzania wenzangu?Wew nae usiwekama mtoto mdogo
Hivi had hapo unazan manala anamwongelea Nani
Kubalini tu KUA anamdomo mchafu
kelphin kepph
Morrison ndiye kiboko zaidi....katoa moja tu mikia yote ikiongozwa na Manara imepagawa!Manara anawajulia vyura balaaa kwa kauli hiiii watajipukuta mwezi mzima ndio wanapoa.
Na changanya na shombo la data wa UnunioHuyu dawa yake ni kumwagia mayai vinza mixer kinyesi. Maana ana maneno ya kuudhi sana.
Hata mimi ndivyo nilivyoelewaNiondoleeni takataka anamaanisha mumuindolee maneno ya kipuuzimbona mnajitia upofu
Misinterpretation hio tena ya makusudi moate sababu ya kusema
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu sio kwamba hajui kua ni mayai yaliyooza kilichomshangaza nihiyo vinza!!!Mayai yaliooza.
Ok.Kiswahili kigumu. Kiswahili ni lugha yangu ya pili baada ya Kisukuma.Huyu sio kwamba hajui kua ni mayai yaliyooza kilichomshangaza nihiyo vinza!!!
Vinza= Viza
Sent using Jamii Forums mobile app
👍Niondoleeni takataka anamaanisha mumuindolee maneno ya kipuuzimbona mnajitia upofu
Misinterpretation hio tena ya makusudi moate sababu ya kusema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umeandika kwa jazba hadi unachapia chapiaNiondoleeni takataka anamaanisha mumuindolee maneno ya kipuuzimbona mnajitia upofu
Misinterpretation hio tena ya makusudi moate sababu ya kusema
Sent using Jamii Forums mobile app