Abunwasi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 5,486 Reaction score 3,473 Jan 29, 2020 #61 Kalolelo said: Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje Click to expand... Ni takataka tu anayeweza kutambua taka taka mwenzake. Huyu jamaa mnafahamu fika kuwa siyo wa kawaida na hivyo mnapaswa kumsamehe tu.
Kalolelo said: Ni ajabu sana huyu jamaa anakuwa kama shabiki maandazi ww ni msemaji semea timu yako kitendo cha kumuita Morrison takataka ni kitendo kichafu sasa cjui ww wakikuita........ Utajisikiaje Click to expand... Ni takataka tu anayeweza kutambua taka taka mwenzake. Huyu jamaa mnafahamu fika kuwa siyo wa kawaida na hivyo mnapaswa kumsamehe tu.