Nimeona, kiukweli inasikitisha sanaTafuta Uzi wa JamiiForums Member Numero Uno kule katika Jukwaa la Michezo wenye Title isemayo SHOBO YA NINI ame Screenshot kila Kitu ( Upumbavu ) aliouandika huyo Msemaji wa Yanga SC Mwendawazimu Haji Manara.
Shukrani, nimeona.Nenda jukwa la michezo
Watu washa screenshot
Ova
Nimeona, sijui akili zile watu wanazitoa wapi?kuna haja ya mamlaka husika kufnmanya wawezalo ili kulinda hadhi ya soka letu pamoja na kuonesha kuwa kuja kucheza mpira kwenye ardhi ya Tanzania siyo kuweka maisha yako rehani.Tafuta Uzi wa Numero Uno kule katika Jukwaa la Michezo wenye Title isemayo SHOBO YA NINI ameu Screenshot wote, upo na bado hajaufuta / haujafutwa.
Wababa tafadhali hakikisheni mkiwa mnakutana na Wamama kuwapa Mimba muwe mmeshajjridhisha kama mmekula Madini ( Protein na Vitamin ) za kutosha ili mkituzalia Watoto wenu wawe ni Intelligent na wenye Faida kwa Jamii na Nchi na siyo Lipumbavu na Taahira Tukuka kama hili ( huyu ) sawa?Kwendeni zenu. Alivyokuwa mikiani ilikuwa halali kuongea chochote,kutuhumu chochote. Kuitukana Yanga vyovyote?. Ila sasa ksbb kaondoka huko imekuwa kafara tayari. Akichukuliwa hatua yoyote leo hii hakika nitaamini hii nchi imeoza kwa ushabiki wa kishamba. Pia nitaamini huyu kiongozi wa TFF ni wa ovyo.
Manara ameongea kejeri nyingi sana akiwa mikiani. Matusi ya ovyo. Amezunguka na CD kuwatuhumu sana waamuzi. Yaani leo ksbb kaondoka huko tayari awe ni adui.
Mkuki kwa nguruwe....
Ameharibu mno na ameshahatarisha pia Usalama wa Taifa hasa kwa Timu Wageni ambazo zitakuja nchini na hata Athari katika Sekta ya Utalii nayo kwa kiasi fulani imechafuliwa. Aadhibiwe ili iwe Fundisho.Nimeona, sijui akili zile watu wanazitoa wapi?kuna haja ya mamlaka husika kufnmanya wawezalo ili kulinda hadhi ya soka letu pamoja na kuonesha kuwa kuja kucheza mpira kwenye ardhi ya Tanzania siyo kuweka maisha yako rehani.
Hawa jamaa sijuwi waliokotwa wapiAmeharibu mno na ameshahatarisha pia Usalama wa Taifa hasa kwa Timu Wageni ambazo zitakuja nchini na hata Athari katika Sekta ya Utalii nayo kwa kiasi fulani imechafuliwa. Aadhibiwe ili iwe Fundisho.
ππππTunaomba mwenye nao tuone ili tuweze kuchangia kwa usahihi.
ππππMkuu kama hautojali tunaomba uweke hapa alichoandika huyu Haji Manara huko Instagram..
Asante.
mabaya yapi?Wee jamaa nyuzi zako za kuombeaga wenzio mabaya tu!
It's cold day in hell when he dirty up Simba name
kwa mechi gani za kimataifa mlizokuwa mnashiriki alikuw anaandika upuuzi kama huu πππKwendeni zenu. Alivyokuwa mikiani ilikuwa halali kuongea chochote,kutuhumu chochote. Kuitukana Yanga vyovyote?. Ila sasa ksbb kaondoka huko imekuwa kafara tayari. Akichukuliwa hatua yoyote leo hii hakika nitaamini hii nchi imeoza kwa ushabiki wa kishamba. Pia nitaamini huyu kiongozi wa TFF ni wa ovyo.
Manara ameongea kejeri nyingi sana akiwa mikiani. Matusi ya ovyo. Amezunguka na CD kuwatuhumu sana waamuzi. Yaani leo ksbb kaondoka huko tayari awe ni adui.
Mkuki kwa nguruwe....
sheria ichukue mkondo wakeIt's cold day in hell when he dirty up Simba name
uchawa mzee mbaya sanaHawa jamaa sijuwi waliokotwa wapi
Ova
soma iyo comment ya asecHapo hakuna cha maana.
Alikuwa anawaambia akina nani sasa
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Malezi ya hovyo na ugumu wa maisha unakufanya una kasikirikia watuMbona nawe unakatia Ndizi ile ile 24/7?