Haji Manara kulipwa mshahara laki 7 ni aibu na unyonyaji, arekebishiwe

binafsi mimi ni Yanga.....ila Manara anamchango mkubwa sana hasa kwenye issue nzima ya derby anahamasisha sana huyu mzee, anamapungufu yake lakini kazi anayofanya ni kubwa kwakweli......he deserve more
 
Tupe cv ya Haji Manara! Mtu halipwi kwa wingi wa maneno bali kwa kuzingatia taaluma yake. Hizo laki saba ni nyingi sana kwa kazi ya kubwabwaja! Kwanza mzee anabwabwaja kumzidi Manara!! Kama vipi aondoke tumchukue mzee Mpili!
 
Basi ni halali kwa Haji kuendelea Kuwa balozi wa Bidhaa za GSM, Azam Bakhresa, na Asasi ili kipato chake kiendane na status aliyonayo, ila hii kibiashara haijakaa sawa kwa Bosi wake Mo dewji
 
Uto Kama uto kipigo kipo pale pale 25 lake Tanganyika naisubiri treni hapa inyonga manara anapokea bonus kila wiki laki 5 na posho mwisho wa mwezi laki 7 Sasa ukipiga hesabu kwa mwezi anakunja zaidi 2.7
 
Basi ni halali kwa Haji kuendelea Kuwa balozi wa Bidhaa za GSM, Azam Bakhresa, na Asasi ili kipato chake kiendane na status aliyonayo, ila hii kibiashara haijakaa sawa kwa Bosi wake Mo dewji
Muulize kwa nini hataki kusaini mkataba wa m4
 
Muulize kwa nini hataki kusaini mkataba wa m4
Kwa akili yako ya kawaida Kwa ukubwa wa Brand ya Manara ana thamani ya kulipwa milioni 4,Ushawahi kujiuliza ktk maadili ya ubalozi wake kule GSM, Azam na ASAS kwa mwezi anaingiza kiasi, it's a lot of money mkuu kuzidi hilo dili la milioni 4
 
namuonea huruma Manara, ila kuna kitu anatakiwa ajifunze anatakiwa awe na subra akiwa na hasira.

kukurupuka kwake kutamcost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…