Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akifika burundi ataitwa hajirimana manaranziza bukuruHii habari ukweli gani?Yaani msemaji wa Klabu mojawapo kubwa hapa Tanzania ndio alipwe hivyo?
Hata hivyo kama haridhiki ahamie Burundi hakuna namna
Tupe cv ya Haji Manara! Mtu halipwi kwa wingi wa maneno bali kwa kuzingatia taaluma yake. Hizo laki saba ni nyingi sana kwa kazi ya kubwabwaja! Kwanza mzee anabwabwaja kumzidi Manara!! Kama vipi aondoke tumchukue mzee Mpili!View attachment 1863294
Sote tunaujua mchango wa manara katika soka letu la hapa nchini.
Ni mtu mwenye taaluma na kipaji cha aina yake kinachofanya simba ipige hatua hasa linapokuja swala la kuhudhuria michezo uwanjani, kunogesha ushabiki, kuchangamsha derby, n.k.
Hat simba inapocheza wengi huwa wanafatilia manara kasema nini wenye press confrence, mitandao ya jamii, n.k. wengine hata page za simba hawafatilii wao wanafata page ya manara wa updates zote za simba
Sasa kweli mtu kama huyu analipwaje laki 7 aisee, hizi ni zaidi ya dharau kwakeli,
Binafsi nilijua uwepo wa bosi wake muhindi utafanya asilipwe kulingana thamani yake, nilidhani huenda analipwa walau milioni 2 kinyonyaji maana ukisema umlipe manara kwa stahiki yake halisi basi andaa hata milioi 6 tena hapo ni kizalendo tu, Ila hii ya laki 7 kiukweli ni aibu, fedheha na dharau kabisa, mnyonge mnongeni lakini haki yae mpeni, laki 7 kwa manara ni takataka.
Muulize kwa nini hataki kusaini mkataba wa m4Basi ni halali kwa Haji kuendelea Kuwa balozi wa Bidhaa za GSM, Azam Bakhresa, na Asasi ili kipato chake kiendane na status aliyonayo, ila hii kibiashara haijakaa sawa kwa Bosi wake Mo dewji
Kwa akili yako ya kawaida Kwa ukubwa wa Brand ya Manara ana thamani ya kulipwa milioni 4,Ushawahi kujiuliza ktk maadili ya ubalozi wake kule GSM, Azam na ASAS kwa mwezi anaingiza kiasi, it's a lot of money mkuu kuzidi hilo dili la milioni 4Muulize kwa nini hataki kusaini mkataba wa m4
Mkuu dili ya ubalozi kule GSM, AZAM, ASAS, Manara anachukua pesa kubwa kwa mwezi kuliko hiyo milioni 4Muulize kwa nini hataki kusaini mkataba wa m4
Sijawahi fikiria kufanya kazi chini ya Mhindi ktk Maisha yanguEndelea kupiga domo