Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

Ile kamati inateuliwa na Karia. Sasa hapo unategemea nini ?
 
Huyo mbwakoko aongezewe adhabu, afungiwe maisha.
 
Aliyemdanganya aitishe press ya kuomba radhi(akajikuta amekiri makosa bila kujua), ndiye huyohuyo kamshauri aitishe press kuropoka huu upumbavu wake.

Wewe inalilia brand yako, ilhali kuna wakati unaijenge kuna watu wameharibikiwa brand zako kupitia domo lako, ni kipi kinakupa uhalali wa kuharibu vya watu kisha vyako viheshimiwe, ngozi yako au?😄
 
Toka awe mchepoz wa Boss ndo kawehukwaa mara dufu, mweeeh.
Hadi tabuuu. Khaaaah.
 
Huyo Msomali anataka kuharibu amani tuliyonayo.
 
Inasikitisha sana yani kurugenzi yote ya pale Yanga ina maana ilishindwa namna ya kumuandaa kwa hoja ambazo rational yeyote atakuwa conviced?

Tangu afungiwe inakaribia almost wiki lakini mchizi kashindwa kuzitumia hizo siku kupangilia hoja

Hii press ameifanya kihisia na ndio maana katumia makosa mengi ya logic

Kutaka kufifisha kosa lako kuonekana sio kosa kwa kuonesha kosa lilofanywa na mwingine hiyo ni Ignorantio Elench

Huwezi ukasema hupaswi kulipa faini kwa kuendesha gari hovyo eti kwasababu tu kuna watu wengi mtaani wahalifu na wabakaji ambao polisi ilipaswa kudili nao na sio kuhangaika na wewe ambaye unalipa kodi
 
Mbona yeye kachafua sana watu ila wamempuuza tu
Kamchafua sana Mo na anaona sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…