maisha hayapo hvyo mtu leo omba omba kesho ni bossKuna siku nilimkuta posta mpya kwenye foleni kabla Mo hajaja Simba kapo kwenye Suzuki imechoka kameloa jasho sijui hata km ile gari ilikuwa na AC hadi nikamuonea huruma eti leo anabrand [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah kweli hamnazo.
Mkuu unakata rufaa huna nakala ya hukumu na ukiomba hupewi unakata vpKwani amezuiwa kukata rufaa dhidi ya hukumu aliyopewa?Au na yeye ndio ameingia kwenye kundi lile alilowahi kusema kuwa hawana akili isipokua watu wawili tu Jk kikwete na Sunday manara!
Haa Amebadilika Saa HiziAlisema yuko tayari kwa maamuzi yoyote yatakayofikiwa na kamati sasa mbona kutwa anabweka.
Dah!![emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana...mkuu ninahakika umefanya kusudi.
Kamfungie weweHuyu angefungiwa maisha tu
Sijui nani aliwafundisha hilo neno "burandi"Watu na brand zao. Hongera sana kwake kwa kujijengea brand.
Hatukatai ila unavyopata vitonga usiwatukane waliokupa hivyo vitongamaisha hayapo hvyo mtu leo omba omba kesho ni boss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaaaaah!!!Habari zao wapeleke chumbani huko sasa, huku nje tunafata sheria.
Si wanagombana na mashavu mbonyeo, tangu aingie pale yaan anavuruga kila kitu, kabwili aliyemuangamiza nan? Si takadini kisa kumgombania Tonombe,. Na tonombe mwenyewe kasepa zakeDuh kumbe tajiri kubwa inaula huu ubwabwa!!!!!
Iko siku watu wote watamchoka, ndo atapata akili vizuri.Exactly, aka kajamaa ni kirusi hatari kwenye soka la Tz
Yaan wewe khaaSi wanagombana na mashavu mbonyeo, tangu aingie pale yaan anavuruga kila kitu, kabwili aliyemuangamiza nan? Si takadini kisa kumgombania Tonombe,. Na tonombe mwenyewe kasepa zake
Huyu Takadini ana stress na majuto moyoni. Anaishi kwa kufake uhalisia, bas anaiishia kuvuruga wenzake, khaaaah.
Afrika nzima huyukwamba manara naye ni superbrand