Tangu lini hawa ngozi nyeupe wakawa na utu mkuu wangu? Hawa ni watu wa fursa ukiwa na maslai nae anakuweka karibu na hapo hapo anataka akukamue!!! Ndo sababu haji kasema wameshidwana kibiashara hawa jamaa sijui waarabu wahindi wakiona wewe ni mjanja kwenye mishe zako hawawezi kukupenda ndo kilichomkuta manara.... Yani jamaa angekubali kupelekeshwa nao wasingemtoaIngawa ameongea mengi ambayo hakupaswa kuyaongea, lakini MO hakuonyesha utu kwa Manara.
Haiwezekani kazi zote zile alizofanya Manara hazikuwa na malipo ya kueleweka!!?
Hata ngozi nyeusi wako hivyo hivyo kwenye biashara. Labda kwa vile wao siyo wengi kwa sasa.Tangu lini hawa ngozi nyeupe wakawa na utu mkuu wangu? Hawa ni watu wa fursa ukiwa na maslai nae anakuweka karibu na hapo hapo anataka akukamue!!! Ndo sababu haji kasema wameshidwana kibiashara hawa jamaa sijui waarabu wahindi wakiona wewe ni mjanja kwenye mishe zako hawawezi kukupenda ndo kilichomkuta manara.... Yani jamaa angekubali kupelekeshwa nao wasingemtoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kapata nini? hivi unajua nini maana ya UWELEDI?Then Bora kaongea ili watu wajue kuwa msemaji wa timu anakwenda mkoani na timu Kwa gharama zake
Kwa mshahara wa laki 7 boss??Then Bora kaongea ili watu wajue kuwa msemaji wa timu anakwenda mkoani na timu Kwa gharama zake
Aisee.....Bila shaka wwe ndio unabebaga kobazi za Moo
mwanzako anajitetea ww unamwaga upuuzi
kima kweli ww.
Haaa haaaa....Mo Dewji aliwahi kunipigia simu akaniambia watu wanasema nimekuwa maarufu kuliko yeye hivyo anataka kunitoa Simba"
[emoji867]vitu vingine na chumvi imezidi
Baada ya kupiga uswahili amepata nini?'njaa imeisha au ataendelea kuitangaza GSM na kwingine,mwambieni huyo mswahili wenu huwezi kufanya kazi coca ukalipwa pepsi simply haiwezekani,hata hivyo wamelea sana,miaka sita!!
Barbara ni yule bosi mwanamke ambaye hajiamini na uwezo wake kwahiyo kila anayemwona ni threat atamsagia kunguni mpaka apoteze kaziHadi wewe
Mo alikuwa analalamika udhamini wa sportPesa wa 1B kwa mwaka ni kidogo wakati yeye ameichafua jezi ya Simba kwa 200M kwa mwaka.Mo naye anatakiwa kutueleza kama Simba ni kubwa kama anavyoamini kwanini anataka club iingie mkataba na bidhaa zake kwa milioni 200
Unawezaje kuitofautisha kampuni za mo na simba? Huyo manara aliyekuwa anaambiwa kuwa asitangaze bidhaa za mshindani wake, simba wanatengeneza juice? Simba wanatengeneza maji? Huyo CEO, kabla hamjamtangaza rasmi kuwa simba si alikuwa akifanya majukumu yake, MOET?Mjinga wewe huna akili ,
Unaleta issue za kampuni za Mo wakati Mimi nazungumzia Simba Sports Club.
Mjinga kweli wewe shenzy
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kwani mahakamani kushinda keshi ni kutokana na maneno mengi au facts?!!msimjadili mtu jadili hoja mkuu, je aliyoongea yana ukweli au?!!tatizo la watz wengi sio kwenye michezo/siasa huwa tunakimbilia kumjadili mtu badala ya kile alichokiongea!!Haji Manra ana mdomo sana hajakaa kama mwanaume wa kawaida ndiyo maana hata mimi sina imani na huruma naye. Huyu akiwa na kesi lazima afungwe na hakimu sababu ana mdomo mno na kila kitu yeye yupo sawa wengine woe wanamuonea. Body language yake inaeleza kila kitu. Hakuangalii machoni ni mdomo wake tu unafyatuka bila kukosea hata neno moja. Ana akili ya kike akili mdomoni
Na alikuwa wapi siku zote leo ndio simba wabaya! kazi ni kupishana pumzika wengine waje!! acha kelele haji! pia tunaakili.Haji ana kichwa cha kuku ile game ya Al Ahl alikomaa Senzo anawahujumu leo kawa mtu mzuri kwake, Simba wamefanya kitu cha maana sana kumla kichwa huyu kenge
Manara ashakataa akutoa voice note,alimpigia babra kumbe akawa anarekodi na alivyo akujibu chochote,babra ndio kavujisha na kwa mujibu ile voice note ilikua ya muda mrefuHakuachwa bila utaratibu ila alikosea kutoa voice note mtandaoni kumnanga bosi wake na alitoa vitisho lazima barbra ataondoka simba
Sasa simba wanfanye nini lazima wamsepeshe kwa maujibu ya maongezi yake na kama alikuw na tatizo mbona sehem ya kupeleka manung'uniko yake ipo alishindwa nini?