ibramy
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 642
- 967
Tangu lini hawa ngozi nyeupe wakawa na utu mkuu wangu? Hawa ni watu wa fursa ukiwa na maslai nae anakuweka karibu na hapo hapo anataka akukamue!!! Ndo sababu haji kasema wameshidwana kibiashara hawa jamaa sijui waarabu wahindi wakiona wewe ni mjanja kwenye mishe zako hawawezi kukupenda ndo kilichomkuta manara.... Yani jamaa angekubali kupelekeshwa nao wasingemtoaIngawa ameongea mengi ambayo hakupaswa kuyaongea, lakini MO hakuonyesha utu kwa Manara.
Haiwezekani kazi zote zile alizofanya Manara hazikuwa na malipo ya kueleweka!!?
Sent using Jamii Forums mobile app