Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Ingawa ameongea mengi ambayo hakupaswa kuyaongea, lakini MO hakuonyesha utu kwa Manara.
Haiwezekani kazi zote zile alizofanya Manara hazikuwa na malipo ya kueleweka!!?
Tangu lini hawa ngozi nyeupe wakawa na utu mkuu wangu? Hawa ni watu wa fursa ukiwa na maslai nae anakuweka karibu na hapo hapo anataka akukamue!!! Ndo sababu haji kasema wameshidwana kibiashara hawa jamaa sijui waarabu wahindi wakiona wewe ni mjanja kwenye mishe zako hawawezi kukupenda ndo kilichomkuta manara.... Yani jamaa angekubali kupelekeshwa nao wasingemtoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini hawa ngozi nyeupe wakawa na utu mkuu wangu? Hawa ni watu wa fursa ukiwa na maslai nae anakuweka karibu na hapo hapo anataka akukamue!!! Ndo sababu haji kasema wameshidwana kibiashara hawa jamaa sijui waarabu wahindi wakiona wewe ni mjanja kwenye mishe zako hawawezi kukupenda ndo kilichomkuta manara.... Yani jamaa angekubali kupelekeshwa nao wasingemtoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ngozi nyeusi wako hivyo hivyo kwenye biashara. Labda kwa vile wao siyo wengi kwa sasa.
 
Then Bora kaongea ili watu wajue kuwa msemaji wa timu anakwenda mkoani na timu Kwa gharama zake
Sasa kapata nini? hivi unajua nini maana ya UWELEDI?

Senzo kaondoka Simba sasa yupo Yanga, ushajiuliza kwa nini Senzo alikaa kimya.
 
Nilichoshangaa mimi ni Mo kutaka kuimbwa na Diamond? Diamond anapambana kutajwa na forbes wakati Mo daily yupo top cover' Buroo Manara bhana' hivi kuna umaarufu zaidi ya kuwa na "fwedhaa?
 
Mo Dewji aliwahi kunipigia simu akaniambia watu wanasema nimekuwa maarufu kuliko yeye hivyo anataka kunitoa Simba"

[emoji867]vitu vingine na chumvi imezidi
Haaa haaaa....
 
Simba chini ya MO haitofika popote

Tutaendelea kushangilia upuuzi wa kununua free agents tu, tusitegemee MO ataifanya Simba iwe na nguvu financially

Atatufanya tumtegemee kwa kila kitu, na hakuna siku Simba atakua na nguvu ya kuvunja mkataba wa mchezaji mzuri ili wamchukue

Manara ana ujinga wake ila hapa ameongea ukweli mtupu!
 
Baada ya kupiga uswahili amepata nini?'njaa imeisha au ataendelea kuitangaza GSM na kwingine,mwambieni huyo mswahili wenu huwezi kufanya kazi coca ukalipwa pepsi simply haiwezekani,hata hivyo wamelea sana,miaka sita!!

unaongea mpuuzi tu, METL ni kampuni tafauti na SIMBA ni kampuni tafauti, mkataba ni wa matangazo tu na si kingine, yaani leo kusaga na domo awakataze watangazaji wake kua na youtube channel ama kupost videos insta? una akli kweli wewe?
 
Hadi wewe
Barbara ni yule bosi mwanamke ambaye hajiamini na uwezo wake kwahiyo kila anayemwona ni threat atamsagia kunguni mpaka apoteze kazi

Trust me bro, madem kama hawa nimeshafanya kazi nao sana
 
Haya mpeni NSSF yake basiii.................... 😀😀😀😀

Manara ana domo chafu, kachafua vibaya vibaya.

Eti jezi ina matangazo kibao kama SUDAN FC,Manara fala sana.........😀😀
 
Mo naye anatakiwa kutueleza kama Simba ni kubwa kama anavyoamini kwanini anataka club iingie mkataba na bidhaa zake kwa milioni 200
Mo alikuwa analalamika udhamini wa sportPesa wa 1B kwa mwaka ni kidogo wakati yeye ameichafua jezi ya Simba kwa 200M kwa mwaka.

Wanasimba wengi wamekauka kwasababu tunashinda mataji na ukijaribu kuhoji unazimwa papo hapo.
 
Haji Manara ana mdomo sana hajakaa kama mwanaume wa kawaida ndiyo maana hata mimi sina imani na huruma naye. Huyu akiwa na kesi lazima afungwe na hakimu sababu ana mdomo mno na kila kitu yeye yupo sawa wengine woe wanamuonea. Body language yake inaeleza kila kitu. Hakuangalii machoni ni mdomo wake tu unafyatuka bila kukosea hata neno moja. Ana akili ya kike akili mdomoni.

His loud mouth eventually led to his utterly predictable demise. The mouth served him well and long until people got tired of it and realized his stupidity was a result of his brain being ingrained in his loud mouth just like a bitch.
 
Mjinga wewe huna akili ,

Unaleta issue za kampuni za Mo wakati Mimi nazungumzia Simba Sports Club.

Mjinga kweli wewe shenzy

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Unawezaje kuitofautisha kampuni za mo na simba? Huyo manara aliyekuwa anaambiwa kuwa asitangaze bidhaa za mshindani wake, simba wanatengeneza juice? Simba wanatengeneza maji? Huyo CEO, kabla hamjamtangaza rasmi kuwa simba si alikuwa akifanya majukumu yake, MOET?

Wajinga kama nyie ndio Mo, anawapenda, anawaambia kwa miaka 4, ameshatumia bilioni21 zake, hajawaambia ktk hizo za simba ni ngapi? Huyo Mkude kipindi kile kwenye sakata lake la kuwa wazawa hawalipwi vizuri licha ya kuwa na mchango mkubwa kwenye timu? Kulinganisha na wageni!! Unafikiria ni kwanini FCC, walikuwa wanazuia mchakato huo wa mabadiriko?? Ndio hayo hayo walioko kwenye MOET, ndio tena walikuwa simba, hujitambui wewe na ndio KANJIBAI anawapenda.
 
Haji Manra ana mdomo sana hajakaa kama mwanaume wa kawaida ndiyo maana hata mimi sina imani na huruma naye. Huyu akiwa na kesi lazima afungwe na hakimu sababu ana mdomo mno na kila kitu yeye yupo sawa wengine woe wanamuonea. Body language yake inaeleza kila kitu. Hakuangalii machoni ni mdomo wake tu unafyatuka bila kukosea hata neno moja. Ana akili ya kike akili mdomoni
Kwani mahakamani kushinda keshi ni kutokana na maneno mengi au facts?!!msimjadili mtu jadili hoja mkuu, je aliyoongea yana ukweli au?!!tatizo la watz wengi sio kwenye michezo/siasa huwa tunakimbilia kumjadili mtu badala ya kile alichokiongea!!
 
Haji ana kichwa cha kuku ile game ya Al Ahl alikomaa Senzo anawahujumu leo kawa mtu mzuri kwake, Simba wamefanya kitu cha maana sana kumla kichwa huyu kenge
Na alikuwa wapi siku zote leo ndio simba wabaya! kazi ni kupishana pumzika wengine waje!! acha kelele haji! pia tunaakili.
 
Hakuachwa bila utaratibu ila alikosea kutoa voice note mtandaoni kumnanga bosi wake na alitoa vitisho lazima barbra ataondoka simba
Sasa simba wanfanye nini lazima wamsepeshe kwa maujibu ya maongezi yake na kama alikuw na tatizo mbona sehem ya kupeleka manung'uniko yake ipo alishindwa nini?
Manara ashakataa akutoa voice note,alimpigia babra kumbe akawa anarekodi na alivyo akujibu chochote,babra ndio kavujisha na kwa mujibu ile voice note ilikua ya muda mrefu
 
Back
Top Bottom