Haja ipo tena kubwa TuManara totally mswahili +mzaramo kuna haja gani ya kuongea yote haya, yaani leo ndio kaharibu reputation yake yote na ile sifa yake ya kujitamba eti ana UWELEDI mkubwa leo kajishusha mpaka chekechea.
Haya watani pamabaneni na SEMAJI LENU aka Buggati,mpaka hapo kawavua nguo kwamba timu yenu ina tatizo la management kwani mambo aliyo yasema ni kweli sababu yy alikuwa jikoni.
Mkuu GENTAMYCINE anasisitiza manara asijibiwe,ila genta akili kubwa anajua manara akijibiwa atakuja na press ya spray changing room pale kwa mkapa 🤣🤣kwani GENTAMYCINE anasemaje ?
Hata hao Azam atakaofannya nao kazi watakuwa hawamuamini kivile kiufupi Manara kajiharibia sana tu
Hakika Mkuu na Nadhani Kila mtu ni Maarufu Kwenye angle yake, Manara ni Maarufu pia na Huyo Kanjibai nae ni Maarufu Kwa Upande Wake.Hicho alichokifanya Haji kilitarajiwa na wengi ilikuwa inangojewa muda tu......na haya ni mambo ya kawaida kwenye maisha....
Leo Manara hakutoa nafasi yakuulizwa maswali amemaliza kwakusema nashukuru kwakunisikiliza akaamka akatoka. ..anasema anatiket yandege mkononi yamchana huu anasepa zake mbeleTatizo kubwa la waandishi wetu wanashindwa kuhoji hata vitu vya msingi, Moo alipoongea waandishi hawakumuuliza hata swali moja hivyohivyo na Manara alipoongea hakuulizwa hata swali moja kwa kifupi wamekuwa wakiongea umbeya
Barbra siyo kanjibai mkuuMudy kiboko anamiliki timu ana miliki na kanjibai mwenzake kamuweka kwenye top management.
Mkuu wao wamesema wanachotaka ni vikombe tu mambo ya hela na timu anayajua MO etal.Iko kiparagraph cha mwisho kabisa kuna watu walikipinga kwamba Barbara hajasaini mkataba na Azam kumbe ndo ukweli wenyewe. Aisee
Haya kataeni wale wa kukataa. Mnapigwa.
Vita haichagui silaha kiongoziMo Dewji aliwahi kunipigia simu akaniambia watu wanasema nimekuwa maarufu kuliko yeye hivyo anataka kunitoa Simba"
[emoji867]vitu vingine na chumvi imezidi
Azam ni washindani wa Mohamed Enterprise kibiashara.Azam wanafaidika na nini aisee
Wewe mtu wa pembeni huwezi kuielewa Simba zaidi ya anavyoielewa Manara,hivyo hatuwezi kumuona mpuuzi na maneno yake hayawezi kupuuzwa tu mpka pale tutakaposikia ukweli kutoka upande wa pili. Hata hivyo limekuwa na tuhuma za aina hiihii kutoka kwa watu mbalimbali waliowahi kufanya kazi pale SIMBA SC, watu sio wajinga.Simba haiwezi kumjibu. ikimjibu na wao akili zao zitakuwa pungufu. mpuuzi ni kumpuuza
Mimi ni Shabiki wa Simba Damu. Sawa, zingine ni porojo. Lakini, upo moshi unaofuka ndani ya Simba. Moto utawaka matokeo yatakapoanza kuwa mabaya uwanjani.
Nilichokiona ni kuwa MO anajimilikisha Simba. Punde baada ya kuweka ile 20 Billion ndo basi tena.
Mashabiki wa Simba ni wanafki. Hatuwezi kujidai kuitetea Simba kwa kuficha uovu uliopo.
Simba kwa namna yeyote ile, lazima wamlipe Haji fidia kwa kumtumikisha bila mkataba tena kwa miaka sita.
Tuombe Mungu, Haji asipate madhila yoyote. Lawama zote zitaiangukia klabu yetu kwamba tumehusika baada ya kutoa hii press.
Alafu, mnajidai kumnanga Haji ila kwani tuhuma zile kwa nini hawakuzimaliza kiofisi? Mbona wao hawakumuacha kiutaratibu? Akimwaga mboga, nawe mwaga ugali.
Hii iwakumbushe waajiri kufata taratibu zote za uajiri.
Tuwe Waungwana!.
Hadi weweBaada ya kumsikiliza Haji nimeanza kuwa na mashaka na Barbara
Only time will tell
Sio anajimilikisha anamiliki, kwa si katoa hizo hela tatizo lipo wapi?Mimi ni Shabiki wa Simba Damu. Sawa, zingine ni porojo. Lakini, upo moshi unaofuka ndani ya Simba. Moto utawaka matokeo yatakapoanza kuwa mabaya uwanjani.
Nilichokiona ni kuwa MO anajimilikisha Simba. Punde baada ya kuweka ile 20 Billion ndo basi tena.
Mashabiki wa Simba ni wanafki. Hatuwezi kujidai kuitetea Simba kwa kuficha uovu uliopo.
Simba kwa namna yeyote ile, lazima wamlipe Haji fidia kwa kumtumikisha bila mkataba tena kwa miaka sita.
Tuombe Mungu, Haji asipate madhila yoyote. Lawama zote zitaiangukia klabu yetu kwamba tumehusika baada ya kutoa hii press.
Alafu, mnajidai kumnanga Haji ila kwani tuhuma zile kwa nini hawakuzimaliza kiofisi? Mbona wao hawakumuacha kiutaratibu? Akimwaga mboga, nawe mwaga ugali.
Hii iwakumbushe waajiri kufata taratibu zote za uajiri.
Tuwe Waungwana!.
Kama mkataba hakuna msingi wa kulipwa fidia unatoka wapi?Mimi ni Shabiki wa Simba Damu. Sawa, zingine ni porojo. Lakini, upo moshi unaofuka ndani ya Simba. Moto utawaka matokeo yatakapoanza kuwa mabaya uwanjani.
Nilichokiona ni kuwa MO anajimilikisha Simba. Punde baada ya kuweka ile 20 Billion ndo basi tena.
Mashabiki wa Simba ni wanafki. Hatuwezi kujidai kuitetea Simba kwa kuficha uovu uliopo.
Simba kwa namna yeyote ile, lazima wamlipe Haji fidia kwa kumtumikisha bila mkataba tena kwa miaka sita.
Tuombe Mungu, Haji asipate madhila yoyote. Lawama zote zitaiangukia klabu yetu kwamba tumehusika baada ya kutoa hii press.
Alafu, mnajidai kumnanga Haji ila kwani tuhuma zile kwa nini hawakuzimaliza kiofisi? Mbona wao hawakumuacha kiutaratibu? Akimwaga mboga, nawe mwaga ugali.
Hii iwakumbushe waajiri kufata taratibu zote za uajiri.
Tuwe Waungwana!.
Waandishi wa habari walishafariki, tumebakia na maripota.Tatizo kubwa la waandishi wetu wanashindwa kuhoji hata vitu vya msingi, Moo alipoongea waandishi hawakumuuliza hata swali moja hivyohivyo na Manara alipoongea hakuulizwa hata swali moja kwa kifupi wamekuwa wakiongea umbeya
Unajua taratibu za Uajiri Mkuu?Kama mkataba hakuna msingi wa kulipwa fidia unatoka wapi?