Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Manara totally mswahili +mzaramo kuna haja gani ya kuongea yote haya, yaani leo ndio kaharibu reputation yake yote na ile sifa yake ya kujitamba eti ana UWELEDI mkubwa leo kajishusha mpaka chekechea.

Haya watani pamabaneni na SEMAJI LENU aka Buggati,mpaka hapo kawavua nguo kwamba timu yenu ina tatizo la management kwani mambo aliyo yasema ni kweli sababu yy alikuwa jikoni.
Haja ipo tena kubwa Tu
Sasa ulitaka anyamaze watu tusijue?
 
Hata hao Azam atakaofannya nao kazi watakuwa hawamuamini kivile kiufupi Manara kajiharibia sana tu

Manara Yuko sahihi kabisa
Lazima aeleze uma kilichojiri
Sasa msemaji kama manara na ukubwa wote ule anakosa hata ticket ya kwenda na timu?
 
Hicho alichokifanya Haji kilitarajiwa na wengi ilikuwa inangojewa muda tu......na haya ni mambo ya kawaida kwenye maisha....
Hakika Mkuu na Nadhani Kila mtu ni Maarufu Kwenye angle yake, Manara ni Maarufu pia na Huyo Kanjibai nae ni Maarufu Kwa Upande Wake.

Angalia Leo Hii Yule Mwandishi wa Michezo Wa Mawingu Baada ya Kuzinguliwa na HM Amekuwa chawa Wa Babra
 
Huyu jamaa namkubali na hasa katika kubadilisha namna ya washabiki kuhushabikia mpira kiukweli amefanya kazi nzuri sana ukilinganisha na elimu yake yuko vizuri.
lazima tukubali matajiri hawana lolote ila kutupora timu zetu na sisi tukibaki na ushabiki na kibaya zaidi hata wale tunaowategemea watatusaidia wanatupeleka kulekule wanajenga mazingira ya kuwanunulia watoto na wajukuu zao hisa na wamiliki timu zetu.
 
Tatizo kubwa la waandishi wetu wanashindwa kuhoji hata vitu vya msingi, Moo alipoongea waandishi hawakumuuliza hata swali moja hivyohivyo na Manara alipoongea hakuulizwa hata swali moja kwa kifupi wamekuwa wakiongea umbeya
Leo Manara hakutoa nafasi yakuulizwa maswali amemaliza kwakusema nashukuru kwakunisikiliza akaamka akatoka. ..anasema anatiket yandege mkononi yamchana huu anasepa zake mbele
 
Miaka 4 Bila kombe la maana watu wamekuja na mkakati. Ila kwa akili za havard university za Simba sct sijaui kama watafanikiwa.
 
Iko kiparagraph cha mwisho kabisa kuna watu walikipinga kwamba Barbara hajasaini mkataba na Azam kumbe ndo ukweli wenyewe. Aisee

Haya kataeni wale wa kukataa. Mnapigwa.
Mkuu wao wamesema wanachotaka ni vikombe tu mambo ya hela na timu anayajua MO etal.
 
Mo Dewji aliwahi kunipigia simu akaniambia watu wanasema nimekuwa maarufu kuliko yeye hivyo anataka kunitoa Simba"

[emoji867]vitu vingine na chumvi imezidi
Vita haichagui silaha kiongozi
Ikibidi ongeza chumvi ya kutosha ili kuboresha pambano.
 
Simba haiwezi kumjibu. ikimjibu na wao akili zao zitakuwa pungufu. mpuuzi ni kumpuuza
Wewe mtu wa pembeni huwezi kuielewa Simba zaidi ya anavyoielewa Manara,hivyo hatuwezi kumuona mpuuzi na maneno yake hayawezi kupuuzwa tu mpka pale tutakaposikia ukweli kutoka upande wa pili. Hata hivyo limekuwa na tuhuma za aina hiihii kutoka kwa watu mbalimbali waliowahi kufanya kazi pale SIMBA SC, watu sio wajinga.

Wajitokeze wajibu hizi tuhuma,hata kama si kwasasa.
 
Kwenu wana simba,

bado sijaona pahala popote ambapo Manara kaichafua Simba kama timu au brand..

bado ana mapenzi na timu na anajua ipo siku ataihitaji au club itamuhitaji..

Angalizo,Hoja huanzishwa na hujibiwa kwa hoja sio kwa matusi au kejeli..

bila kushabikia ni vizur akajibiwa kwa utulivu tu,alafu kwa mapenzi yake mjue yapo meengi sana hajaongea,haya ya leo ni asilimia hata 20 hayazid..kikubwa hapo ni mahusiano yake na hao maboss wawili tu..mpeni nafas tafadhari..chambueni hoja na kuzijadili
 
Mimi ni Shabiki wa Simba Damu. Sawa, zingine ni porojo. Lakini, upo moshi unaofuka ndani ya Simba. Moto utawaka matokeo yatakapoanza kuwa mabaya uwanjani.

Nilichokiona ni kuwa MO anajimilikisha Simba. Punde baada ya kuweka ile 20 Billion ndo basi tena.

Mashabiki wa Simba ni wanafki. Hatuwezi kujidai kuitetea Simba kwa kuficha uovu uliopo.

Simba kwa namna yeyote ile, lazima wamlipe Haji fidia kwa kumtumikisha bila mkataba tena kwa miaka sita.

Tuombe Mungu, Haji asipate madhila yoyote. Lawama zote zitaiangukia klabu yetu kwamba tumehusika baada ya kutoa hii press.

Alafu, mnajidai kumnanga Haji ila kwani tuhuma zile kwa nini hawakuzimaliza kiofisi? Mbona wao hawakumuacha kiutaratibu? Akimwaga mboga, nawe mwaga ugali.

Hii iwakumbushe waajiri kufata taratibu zote za uajiri.

Tuwe Waungwana!.

Hakuachwa bila utaratibu ila alikosea kutoa voice note mtandaoni kumnanga bosi wake na alitoa vitisho lazima barbra ataondoka simba
Sasa simba wanfanye nini lazima wamsepeshe kwa maujibu ya maongezi yake na kama alikuw na tatizo mbona sehem ya kupeleka manung'uniko yake ipo alishindwa nini?
 
Mimi ni Shabiki wa Simba Damu. Sawa, zingine ni porojo. Lakini, upo moshi unaofuka ndani ya Simba. Moto utawaka matokeo yatakapoanza kuwa mabaya uwanjani.

Nilichokiona ni kuwa MO anajimilikisha Simba. Punde baada ya kuweka ile 20 Billion ndo basi tena.

Mashabiki wa Simba ni wanafki. Hatuwezi kujidai kuitetea Simba kwa kuficha uovu uliopo.

Simba kwa namna yeyote ile, lazima wamlipe Haji fidia kwa kumtumikisha bila mkataba tena kwa miaka sita.

Tuombe Mungu, Haji asipate madhila yoyote. Lawama zote zitaiangukia klabu yetu kwamba tumehusika baada ya kutoa hii press.

Alafu, mnajidai kumnanga Haji ila kwani tuhuma zile kwa nini hawakuzimaliza kiofisi? Mbona wao hawakumuacha kiutaratibu? Akimwaga mboga, nawe mwaga ugali.

Hii iwakumbushe waajiri kufata taratibu zote za uajiri.

Tuwe Waungwana!.
Sio anajimilikisha anamiliki, kwa si katoa hizo hela tatizo lipo wapi?
 
Kama mkataba hakuna msingi wa kulipwa fidia unatoka wapi?
 
Tatizo kubwa la waandishi wetu wanashindwa kuhoji hata vitu vya msingi, Moo alipoongea waandishi hawakumuuliza hata swali moja hivyohivyo na Manara alipoongea hakuulizwa hata swali moja kwa kifupi wamekuwa wakiongea umbeya
Waandishi wa habari walishafariki, tumebakia na maripota.
Kazi yao kusikiliza na kuandika/Kuripoti
 
Back
Top Bottom