hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Haja ipo tena kubwa TuManara totally mswahili +mzaramo kuna haja gani ya kuongea yote haya, yaani leo ndio kaharibu reputation yake yote na ile sifa yake ya kujitamba eti ana UWELEDI mkubwa leo kajishusha mpaka chekechea.
Haya watani pamabaneni na SEMAJI LENU aka Buggati,mpaka hapo kawavua nguo kwamba timu yenu ina tatizo la management kwani mambo aliyo yasema ni kweli sababu yy alikuwa jikoni.
Sasa ulitaka anyamaze watu tusijue?