Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Inawezekana hizo bilioni 20 amezipata kama faida kwa kutumia nembo ya simba ktk biashara zake.
Mdosi akili kubwa,anazungusha pale pale mkiani faida ndio katia kwenye uwekezaji,ukitaka utukanwe na mikia ulizia faida inayoipata simba kwa yale matangazo ya mo kwenye jezi
 
Huyu Haji na waliomtuma ni hovyo sana, na kajichanganya sana.

Kashashindwa. Simba sct msimjibu. Mwacheni abwabwaje mpaka aridhike na roho yake. Hana Nia njema na Simba na anaombea ipate mabalaa. Eti anaongea na mashabiki!

Azam nao kumbe ovyo sana kumtuma huyo ili kutangaza TV yao ndo nn sasa. Simba achaneni na Azam, ukimsoma vizuri manara kila mara Azam tv ndo waliomtuma kutukana live!

Serikali kwa nn mtu huyu atukane muwekezaji tena live kabisa?
Hahaaaa!!siku zote tulishasema Mo, ni mjanja mjanja tu!!yaani mtu kuweka mambo sawa, kutumikishwa miaka 6, bila mkataba ndio kumtukana muwekezaji??kwa mpira wa bongo sasa hivi kumkwepa azam tv, huwezi labda mhamie ligi ya punjab!!
 
Screenshot_20210804-135701.png
 
Iko kiparagraph cha mwisho kabisa kuna watu walikipinga kwamba Barbara hajasaini mkataba na Azam kumbe ndo ukweli wenyewe. Aisee

Haya kataeni wale wa kukataa. Mnapigwa.
Bi Shadeeya tuambie huo mkataba aliosaini babra ni wa thamani gani na ni wa miaka mingapi?
 
Huyu Haji na waliomtuma ni hovyo sana, na kajichanganya sana.

Kashashindwa. Simba sct msimjibu. Mwacheni abwabwaje mpaka aridhike na roho yake. Hana Nia njema na Simba na anaombea ipate mabalaa. Eti anaongea na mashabiki!

Azam nao kumbe ovyo sana kumtuma huyo ili kutangaza TV yao ndo nn sasa. Simba achaneni na Azam, ukimsoma vizuri manara kila mara Azam tv ndo waliomtuma kutukana live!

Serikali kwa nn mtu huyu atukane muwekezaji tena live kabisa?

Katukana wp ww lazima ni MO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji851]
 
Wahindi wana roho mbaya sana. Hawataki kuona mwingine akifanikiwa. Ila Haji kwa nini alivumilia yote haya? Nimeamini social media watu hupost furaha tu, kumbe ndani wanalia.
Mbona waajiriwa weusi wote pale Simba Wana mikataba , umewahi kusikia mtu mwingine wa Simba analalamikia issue ya mishahara na mikataba tofauti na Haji , kuanzia HR, Technical bench , wachezaji Hadi Finance Department.

Kwanini ni Haji tu ?

Kaa chini ujiulize kwanini ni Haji tu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
mo alitaka kuuza mechi ya simba na zamalek kipindi kile ila kocha alikomaa akaawaambia wachezaj mkicheza vyema mntatengeneza maisha yenu na mkicheza vibaya mnamfanyia mtu maisha yake tokea mda ule mo sina imani nae tena
 
Hata hao Azam atakaofannya nao kazi watakuwa hawamuamini kivile kiufupi Manara kajiharibia sana tu
Kwa hiyo hizo dhuruma zote alizofanyiwa na Mo, ulitaka akae kimya tu!!hans pop, alisema muulizeni manara kwanini alikataa mkataba wa milioni 4?sasa leo si amelitolea ufafanuzi?kumbe simba mambo nako yanaenda ki ubabaishaji tu, kweli mhindi ni mhindi tu!!!
 
Mdosi akili kubwa,anazungusha pale pale mkiani faida ndio katia kwenye uwekezaji,ukitaka utukanwe na mikia ulizia faida inayoipata simba kwa yale matangazo ya mo kwenye jezi
Kwa vile jamaa ni mbumbumbu
 
Mbona waajiriwa weusi wote pale Simba Wana mikataba , umewahi kusikia mtu mwingine wa Simba analalamikia issue ya mishahara na mikataba tofauti na Haji , kuanzia HR, Technical bench , wachezaji Hadi Finance Department.

Kwanini ni Haji tu ?

Kaa chini ujiulize kwanini ni Haji tu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Tena kama hujui kitu kaa kimya kabisa, jaribu kuwauliza wafanyakazi wote waliowahi kufanya kazi kwenye kampuni za mohamedi enterprises, watakwambia!!ni shida tu, hadi mwaka jana serikali ya india ilitoa tahadhari wa wafanyakazi wa kihindi wanaokuja kufanya kazi hapo!!kwani haji bila leo kutoa malalamiko hayo uliyajua?hapa tujadili hoja na sio kumshambulia mtoa hoja!!waulize madreva wanaofanya kazi kwa Mo, wafanyakazi kwenye viwanda vyake, ni aibu!!
 
Mfa maji huyo...Hii ndio shida ya waswahili sisi Wacha tujikalie zetu mikoani huku

Ila Kuna ya kujiuliza;
Kwa nini hakusema haya kabla hajafukuzwa?
Kwa nini hakuacha kazi kama alikuwa halipwi? Kwa sababu hata dhamana tu inakupatia pesa
Dar umbea ni kazi.

Ningekushauri Manara nenda nyumbani Kwa mkeo Kaa tulia subiri rizki nyingine
Mungu ana milango mingi atakufungulia
Hiyo ndio ingekuwa hekima
 
Back
Top Bottom