Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Inawezekana hizo bilioni 20 amezipata kama faida kwa kutumia nembo ya simba ktk biashara zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo tayariiii,"tafadhali Mo na Barbara msijibu chochote"Nasubiri uzi wa GENTAMAISINI tu[emoji3526]
Atakuaje mweusi wakati yule ni mlemavu wa ngozi (zeruzeru)?Lakini manara Ni mweupe
Azam wanafaidika na nini aiseeHata Venue imelipwa na Azam
Mdosi akili kubwa,anazungusha pale pale mkiani faida ndio katia kwenye uwekezaji,ukitaka utukanwe na mikia ulizia faida inayoipata simba kwa yale matangazo ya mo kwenye jeziInawezekana hizo bilioni 20 amezipata kama faida kwa kutumia nembo ya simba ktk biashara zake.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁Mdosi akili kubwa,anazungusha pale pale mkiani faida ndio katia kwenye uwekezaji,ukitaka utukanwe na mikia ulizia faida inayoipata simba kwa yale matangazo ya mo kwenye jezi
Hahaaaa!!siku zote tulishasema Mo, ni mjanja mjanja tu!!yaani mtu kuweka mambo sawa, kutumikishwa miaka 6, bila mkataba ndio kumtukana muwekezaji??kwa mpira wa bongo sasa hivi kumkwepa azam tv, huwezi labda mhamie ligi ya punjab!!Huyu Haji na waliomtuma ni hovyo sana, na kajichanganya sana.
Kashashindwa. Simba sct msimjibu. Mwacheni abwabwaje mpaka aridhike na roho yake. Hana Nia njema na Simba na anaombea ipate mabalaa. Eti anaongea na mashabiki!
Azam nao kumbe ovyo sana kumtuma huyo ili kutangaza TV yao ndo nn sasa. Simba achaneni na Azam, ukimsoma vizuri manara kila mara Azam tv ndo waliomtuma kutukana live!
Serikali kwa nn mtu huyu atukane muwekezaji tena live kabisa?
Bi Shadeeya tuambie huo mkataba aliosaini babra ni wa thamani gani na ni wa miaka mingapi?Iko kiparagraph cha mwisho kabisa kuna watu walikipinga kwamba Barbara hajasaini mkataba na Azam kumbe ndo ukweli wenyewe. Aisee
Haya kataeni wale wa kukataa. Mnapigwa.
Huyu Haji na waliomtuma ni hovyo sana, na kajichanganya sana.
Kashashindwa. Simba sct msimjibu. Mwacheni abwabwaje mpaka aridhike na roho yake. Hana Nia njema na Simba na anaombea ipate mabalaa. Eti anaongea na mashabiki!
Azam nao kumbe ovyo sana kumtuma huyo ili kutangaza TV yao ndo nn sasa. Simba achaneni na Azam, ukimsoma vizuri manara kila mara Azam tv ndo waliomtuma kutukana live!
Serikali kwa nn mtu huyu atukane muwekezaji tena live kabisa?
Mbona waajiriwa weusi wote pale Simba Wana mikataba , umewahi kusikia mtu mwingine wa Simba analalamikia issue ya mishahara na mikataba tofauti na Haji , kuanzia HR, Technical bench , wachezaji Hadi Finance Department.Wahindi wana roho mbaya sana. Hawataki kuona mwingine akifanikiwa. Ila Haji kwa nini alivumilia yote haya? Nimeamini social media watu hupost furaha tu, kumbe ndani wanalia.
Kwa hiyo hizo dhuruma zote alizofanyiwa na Mo, ulitaka akae kimya tu!!hans pop, alisema muulizeni manara kwanini alikataa mkataba wa milioni 4?sasa leo si amelitolea ufafanuzi?kumbe simba mambo nako yanaenda ki ubabaishaji tu, kweli mhindi ni mhindi tu!!!Hata hao Azam atakaofannya nao kazi watakuwa hawamuamini kivile kiufupi Manara kajiharibia sana tu
Kwa vile jamaa ni mbumbumbuMdosi akili kubwa,anazungusha pale pale mkiani faida ndio katia kwenye uwekezaji,ukitaka utukanwe na mikia ulizia faida inayoipata simba kwa yale matangazo ya mo kwenye jezi
Tena kama hujui kitu kaa kimya kabisa, jaribu kuwauliza wafanyakazi wote waliowahi kufanya kazi kwenye kampuni za mohamedi enterprises, watakwambia!!ni shida tu, hadi mwaka jana serikali ya india ilitoa tahadhari wa wafanyakazi wa kihindi wanaokuja kufanya kazi hapo!!kwani haji bila leo kutoa malalamiko hayo uliyajua?hapa tujadili hoja na sio kumshambulia mtoa hoja!!waulize madreva wanaofanya kazi kwa Mo, wafanyakazi kwenye viwanda vyake, ni aibu!!Mbona waajiriwa weusi wote pale Simba Wana mikataba , umewahi kusikia mtu mwingine wa Simba analalamikia issue ya mishahara na mikataba tofauti na Haji , kuanzia HR, Technical bench , wachezaji Hadi Finance Department.
Kwanini ni Haji tu ?
Kaa chini ujiulize kwanini ni Haji tu
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app