Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Naona Leo Haji Amewachanganya Sana [emoji3][emoji3][emoji3]Inawezekana akawa na hoja za msingi lakini kiweledi bwana Haji Manara amekosea pakubwa sana....lakini tukirudi kwenye uhalisia umma wa waTanzania hautaki weledi bali ni kucheza na matukio na mihemko......
Bwana Haji Manara ameifikisha kama ambavyo umma wa waTanzania ulivyotegemea afikishe.....
Uswahili uswahili na udaku ndio vinavyompa kula bwana Manara......na jambo zuri ni kwamba anajua sana kucheza na akili za waTanzania.....anajua waTanzania wanapenda nini na kwa wakati gani......
Katika hili Manara amezichanga karata zake vyema.......