Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Inawezekana akawa na hoja za msingi lakini kiweledi bwana Haji Manara amekosea pakubwa sana....lakini tukirudi kwenye uhalisia umma wa waTanzania hautaki weledi bali ni kucheza na matukio na mihemko......

Bwana Haji Manara ameifikisha kama ambavyo umma wa waTanzania ulivyotegemea afikishe.....

Uswahili uswahili na udaku ndio vinavyompa kula bwana Manara......na jambo zuri ni kwamba anajua sana kucheza na akili za waTanzania.....anajua waTanzania wanapenda nini na kwa wakati gani......

Katika hili Manara amezichanga karata zake vyema.......
Naona Leo Haji Amewachanganya Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Totally unprofessional from Manara. Mimi sikuwahi kuwa mfuasi wake tokea akiwa Simba.

Ukiachilia tu sifa yake kubwa ya uhamasishaji Manara hafai kupewa nafasi ya maana sehemu yoyote maana ni mropokaji/msema hovyo.

Hata kama ukiachana na mwajiri wako kwa ubaya kwa mtu anaejitambua huwezi kuenda kumchafua sehemu hasa kwenye media.

Hii itakufanya kutoaminika hata na huyo anaetaka kukuajiri maana atajua tu kuwa siku mkishindwana nae utaenda kumchafua tu. Manara na wanaomtumia wote akili zao finyu sana. Hawana upeo mzuri wa kufikiri.

Ulitegemea kitu professional kutoka kwa Manara?
 
Ni ngumu kuaminika na watu wanaojielewa. Kwasababu watakuwa tayari wameshamsoma kuwa sio mvumilivu na ni msema hovyo.
Kwanza jamaa ni mvumilivu sana!!miaka sita unafanya kazi bila mkataba, halafu ukijitokeza mbele ya watu una kuwa na furaha kiasi kile??huku timu iko vizuri kiuchumi?!!mibonasi wanapewa wengine tu!!inawezekana manara ni msema hovyo lakini kwenye hili hapana ametoa majibu ya hoja zilizitolewa na Mo, Hans pop!!kosa lake ni nini?!!na kwasasa manara wala hawezi kukosa kazi hapa nchini, leo hata akiamua anze kazi ASAS, ama AZAM, anafanya.
 
Sana mkuu ngoja nikomae na life langu yawezekana life yàngu ni afadhari pia kuliko ya watu wa insta sasa haji anapokea mshahara sawa na boom la mtoto wa chuo analopokea kila baada ya siku 60?
Eeh ndio mambo ya mtandaoni mle
 
Hata siku moja mwanadada victoire usimuamini muhindi, kuna sehem moja hivi jina nahifadhi, masharti ya kufanya kazi kwa huyo mhindi unatakiwa usiwe unabadilisha nguo kila ukija kazini, na uvae makobasi, hata kama una gari hauruhusiwi kuja nalo, kifupi uonekane wa hovyo, hata kama wewe ni mhasibu..those are indians..
Yaani.Hata wafanyakazi wao wa ndani wanawatreat vibaya sana yaani.
 
Huyu Haji na waliomtuma ni hovyo sana, na kajichanganya sana.

Kashashindwa. Simba sct msimjibu. Mwacheni abwabwaje mpaka aridhike na roho yake. Hana Nia njema na Simba na anaombea ipate mabalaa. Eti anaongea na mashabiki!

Azam nao kumbe ovyo sana kumtuma huyo ili kutangaza TV yao ndo nn sasa. Simba achaneni na Azam, ukimsoma vizuri manara kila mara Azam tv ndo waliomtuma kutukana live!

Serikali kwa nn mtu huyu atukane muwekezaji tena live kabisa?
Hajatukana wacha ukweli usemwe.... Sisi ni washabiki wa simba tulitaka sana kujua nini hasa mpaka kaleft!!! Na jamaa kaipambania simba sana... Ukweli na usemwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan ulichoandika ndio funzo nililopata insta inadanganya nilitaka nianze kuiba ili ni meet life kama ya watu wa nsta kumbe fake fake fake wanashida kama zangu
Imagine kuna mechi alikatazwa kukaa jukwaani. Halafu akija instagram anajisifu balaa kumbe usiku kucha kalia kalazwa sebuleni hajabukiwa chumba na kina Barbara. 🤣🤣
 
Inawezekana akawa na hoja za msingi lakini kiweledi bwana Haji Manara amekosea pakubwa sana....lakini tukirudi kwenye uhalisia umma wa waTanzania hautaki weledi bali ni kucheza na matukio na mihemko......

Bwana Haji Manara ameifikisha kama ambavyo umma wa waTanzania ulivyotegemea afikishe.....

Uswahili uswahili na udaku ndio vinavyompa kula bwana Manara......na jambo zuri ni kwamba anajua sana kucheza na akili za waTanzania.....anajua waTanzania wanapenda nini na kwa wakati gani......

Katika hili Manara amezichanga karata zake vyema.......
Natamani angeandika kitabu kuliko kutoa stori za kwenye tv.
 
Mimi ni Shabiki wa Simba Damu. Sawa, zingine ni porojo. Lakini, upo moshi unaofuka ndani ya Simba. Moto utawaka matokeo yatakapoanza kuwa mabaya uwanjani.

Nilichokiona ni kuwa MO anajimilikisha Simba. Punde baada ya kuweka ile 20 Billion ndo basi tena.

Mashabiki wa Simba ni wanafki. Hatuwezi kujidai kuitetea Simba kwa kuficha uovu uliopo.

Simba kwa namna yeyote ile, lazima wamlipe Haji fidia kwa kumtumikisha bila mkataba tena kwa miaka sita.

Tuombe Mungu, Haji asipate madhila yoyote. Lawama zote zitaiangukia klabu yetu kwamba tumehusika baada ya kutoa hii press.

Alafu, mnajidai kumnanga Haji ila kwani tuhuma zile kwa nini hawakuzimaliza kiofisi? Mbona wao hawakumuacha kiutaratibu? Akimwaga mboga, nawe mwaga ugali.

Hii iwakumbushe waajiri kufata taratibu zote za uajiri.

Tuwe Waungwana!.
 
Hiyo post ya Mondi huko Insta imethibitisha kabisa kwa 90% anayosema Manara yana ukweli ndani yake
daimond kampost positively ni kwasababu haji amekua mpambe wake kwa kipindi kirefu, kuanzia sakata la BET haji alimkingia kifua kua tampigia kura utafikiri kana access na bodi ya BET

Hapo jamaa kafanya heshima na ndio maana hajaweka maneno yenye kuonesha kwamba anakubaliana na kauli sa haji kua uongozi wa simba ndio ulio sababisha haji kutemwa

Hako ka haji ni kasemaji ka hovyo sana nadhani simba walikapa fursa ili kukainua kiuchumi tu

ebu chiki hii.

Juzi baada ya mo kuweka ile bilion 20 manara alipost insta akiweka clip yake ya siku za nyuma akihojiwa kuhusu sakata la mo kutoweka hizo pesa. Haji alimtetea mo kwa kina tena aliwek hoji nzuri huku akisisitiza kua hataki kuona tena swali hilo linajirudia tena kwenye press zijazo

Hapo manara alipost hiyo clip kuonesha kwamba alikua pamoja na mo, lakini leo kamchafua utafikiri sio yule manara aliyekua anafokea waandishi wa habari kwa ajiri ya mo

Kumbuka hayo yote ynaendelea hatujasikia upande wa pili, si MO wala si barbra aliyejitokeza kujibu shutuma za haji.

Lakini hance alipojibu kipindi kile japo kwa ufupi tu ilitosha kuonesha haji ana matatizo
 
Tena kama hujui kitu kaa kimya kabisa, jaribu kuwauliza wafanyakazi wote waliowahi kufanya kazi kwenye kampuni za mohamedi enterprises, watakwambia!!ni shida tu, hadi mwaka jana serikali ya india ilitoa tahadhari wa wafanyakazi wa kihindi wanaokuja kufanya kazi hapo!!kwani haji bila leo kutoa malalamiko hayo uliyajua?hapa tujadili hoja na sio kumshambulia mtoa hoja!!waulize madreva wanaofanya kazi kwa Mo, wafanyakazi kwenye viwanda vyake, ni aibu!!
Mjinga wewe huna akili ,

Unaleta issue za kampuni za Mo wakati Mimi nazungumzia Simba Sports Club.

Mjinga kweli wewe shenzy

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Ingawa ameongea mengi ambayo hakupaswa kuyaongea, lakini MO hakuonyesha utu kwa Manara.
Haiwezekani kazi zote zile alizofanya Manara hazikuwa na malipo ya kueleweka!!?
 
Sasa MWAMED umaarufu wa HAJJ unampunguzia nini yeye HAJJ Hana hata kiwanda umemzidi kila kitu lakini unamuonea wivu

...kweli tajiri hapendi masikini apate unafuu wa maisha .....
Umaarufu wa Haji ulikuwa unamnyima usingizi
 
Back
Top Bottom