mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Kitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.Kumbe Mzee magoma alikuwa sawa, kuna watu ndio wamejipa umiliki wa timu yetu, wanaamua vyenye wanapenda wao.
Hyu manara baada ya kufukuzwa huko Simba ndio alikuja Yanga na leo anajifanya anaijua sana Yanga.
Kama GSM wanampenda sana huyu mtu si wampe u CEO wa Kampuni yao(GSM)?
Popote pale ulipo Mwananchi acha kununua jezi mpya paka Manara aondoshwe mara moja..
#Manara out#
Kumbe Mzee magoma alikuwa sawa, kuna watu ndio wamejipa umiliki wa timu yetu, wanaamua vyenye wanapenda wao.
Hyu manara baada ya kufukuzwa huko Simba ndio alikuja Yanga na leo anajifanya anaijua sana Yanga.
Kama GSM wanampenda sana huyu mtu si wampe u CEO wa Kampuni yao(GSM)?
Popote pale ulipo Mwananchi acha kununua jezi mpya paka Manara aondoshwe mara moja..
#Manara out#
Tunaunga mkono hoja, jinsi simba walivyo na hali mbaya atauza siri zetu zote wana yanga, halafu atarudi tena simba. Yaani Manara afukuzwe mara moja na hana weledi wa kuchambua mamboKumbe Mzee magoma alikuwa sawa, kuna watu ndio wamejipa umiliki wa timu yetu, wanaamua vyenye wanapenda wao.
Hyu manara baada ya kufukuzwa huko Simba ndio alikuja Yanga na leo anajifanya anaijua sana Yanga.
Kama GSM wanampenda sana huyu mtu si wampe u CEO wa Kampuni yao(GSM)?
Popote pale ulipo Mwananchi acha kununua jezi mpya paka Manara aondoshwe mara moja..
#Manara out#
Simba ina hali mbaya ipi?Tunaunga mkono hoja, jinsi simba walivyo na hali mbaya atauza siri zetu zote wana yanga, halafu atarudi tena simba. Yaani Manara afukuzwe mara moja na hana weledi wa kuchambua mambo
Ndio ampeleke pale salamander akawe ceo wake, Yanga hatakiwiKitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
Manara ni mchumia tumbo, kama aliweza kutoa siri kipindi kile yupo simba, atashindwaje sasa?Tunaunga mkono hoja, jinsi simba walivyo na hali mbaya atauza siri zetu zote wana yanga, halafu atarudi tena simba. Yaani Manara afukuzwe mara moja na hana weledi wa kuchambua mambo
Kwani aliwacha kazi lini Yanga?Ndio ampeleke pale salamander akawe ceo wake, Yanga hatakiwi
Young kunashida sana,,inakuwaje musemaji anapewa mkataba na GSm kutumikia young badala ya CEO kumpa mkataba husika
Dadavua kauli yakoKitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
Hapo hakuna kudadavua wala kudadavaa. Nipo "crystal clear".Mlipoambiwa mtapata shida msipotenganisha mdhamini na uongozi wa klabu mkadhani watu wana nia mbaya na nyie.
Dadavua kauli yako
Sana kabisa tena kwa jinsi Yanga ilivyo juu kimafanikio simba lazima watamhonga hela nyingi aibe siri. Yaani wana Yanga hatumtaki muuza siriManara ni mchumia tumbo, kama aliweza kutoa siri kipindi kile yupo simba, atashindwaje sasa?
GSM mwemyewe ni Simba toka long time kitamboKama GSM wanampenda sana huyu mtu si wampe u CEO wa Kampuni yao(GSM)?