Haji Manara ni Simba damu, mnampaje kazi ya kuisemea Yanga?

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Kumbe Mzee magoma alikuwa sawa, kuna watu ndio wamejipa umiliki wa timu yetu, wanaamua vyenye wanapenda wao.

Hyu manara baada ya kufukuzwa huko Simba ndio alikuja Yanga na leo anajifanya anaijua sana Yanga.
Kama GSM wanampenda sana huyu mtu si wampe u CEO wa Kampuni yao(GSM)?

Popote pale ulipo Mwananchi acha kununua jezi mpya paka Manara aondoshwe mara moja..

#Manara out#
 
Mtajua wenyewe.
1722198142109.jpg
 
Kitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
 
Attachments

  • 5031589-b8dadfefa4b7b76ca1c17c7ae8774fb4.mov
    7.5 MB
Kumbe Mzee magoma alikuwa sawa, kuna watu ndio wamejipa umiliki wa timu yetu, wanaamua vyenye wanapenda wao.

Hyu manara baada ya kufukuzwa huko Simba ndio alikuja Yanga na leo anajifanya anaijua sana Yanga.
Kama GSM wanampenda sana huyu mtu si wampe u CEO wa Kampuni yao(GSM)?

Popote pale ulipo Mwananchi acha kununua jezi mpya paka Manara aondoshwe mara moja..

#Manara out#
Tunaunga mkono hoja, jinsi simba walivyo na hali mbaya atauza siri zetu zote wana yanga, halafu atarudi tena simba. Yaani Manara afukuzwe mara moja na hana weledi wa kuchambua mambo
 
Young kunashida sana,,inakuwaje musemaji anapewa mkataba na GSm kutumikia young badala ya CEO kumpa mkataba husika

Mlipoambiwa mtapata shida msipotenganisha mdhamini na uongozi wa klabu mkadhani watu wana nia mbaya na nyie.

Kitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
Dadavua kauli yako
 
Manara ni mchumia tumbo, kama aliweza kutoa siri kipindi kile yupo simba, atashindwaje sasa?
Sana kabisa tena kwa jinsi Yanga ilivyo juu kimafanikio simba lazima watamhonga hela nyingi aibe siri. Yaani wana Yanga hatumtaki muuza siri
 
Manara ni kirusi siyo kufanya nae kazi tu hata kuwa na urafiki nae hafai siku ukipishana nae kimtazamo/maslahi jiandae kuchafuliwa
 
🔹 Lafiki wa bochi

🔹 Kwa chababu anamchifiaga bochi

🔹Bochi ndiye aliyemkodi kutoka mkiani. Bochi akiiacha timu reo na yeye kaondoka

🔹 Tuna mchukulu bochi katuletea mpaka mechi yenye langi NYEUPE ( mpondo)

🔹Achante bochi chacha hivi timu ikichinda hatuimbi tena jina la timu Bali tutaimba kampuni yako
 
Back
Top Bottom