mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
-
- #21
Nachojua manara ni muhamasishaji tu, na hiki cheo hakipo wala kutambulika kwenye katiba ya Yanga, kiufupi Manara sio muajiriwa wa Yanga. Ila anaenda kuwa muajiriwa baada ya Ali kamwe ku resignKwani aliwacha kazi lini Yanga?
Yanga imeana kupata mafanikio alipoingia Haji Manara hapo, msisahau hilo.
Mimi ninavyosikiaga kuna wanaoambiwaga wapeleke viungo, nje ya hapo sijui ndiyo maana nikaomba udadavue. Au yeye anahusika katika kuvitafuta?Hapo hakuna kudadavua wala kudadavaa. Nipo "crystal clear".
Wewe bibi noma sanaKitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
Mimi sio "bibi" yako. Hiyo ni "name calling". Umeona kuna "bibi" kwenye ID Yangu?Wewe bibi noma sana
= ninavyosikiaMimi ninavyosikiaga kuna wanaoambiwaga wapeleke viungo, nje ya hapo sijui ndiyo maana nikaomba udadavue. Au yeye anahusika katika kuvitafuta?
Alifungiwa vipi na FAT kama si muajiriwa wa Yanga?Nachojua manara ni muhamasishaji tu, na hiki cheo hakipo wala kutambulika kwenye katiba ya Yanga, kiufupi Manara sio muajiriwa wa Yanga. Ila anaenda kuwa muajiriwa baada ya Ali kamwe ku resign
WamerogwaKumbe Mzee magoma alikuwa sawa, kuna watu ndio wamejipa umiliki wa timu yetu, wanaamua vyenye wanapenda wao.
Hyu manara baada ya kufukuzwa huko Simba ndio alikuja Yanga na leo anajifanya anaijua sana Yanga.
Kama GSM wanampenda sana huyu mtu si wampe u CEO wa Kampuni yao(GSM)?
Popote pale ulipo Mwananchi acha kununua jezi mpya paka Manara aondoshwe mara moja..
#Manara out#
Ila we mama sijui bibi kuna kipindi unakuwa hamnazo kabisa.Kitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
aende tu.Mtajua wenyewe.
View attachment 3055555
Mimi siyo mama'ko wala bibi yako. Ficha upumbavu wako.Ila we mama sijui bibi kuna kipindi unakuwa hamnazo kabisa.
AiseeKitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
Yaan anamuita baby wangu bibi?Mimi siyo mama'ko wala bibi yako. Ficha upumbavu wako.
Mzee Magoma Kuna hoja za msingi anazo kabisa, sema watu ni wakurupukaji na hua hawamsikilizi hoja zake vizuriHapo hakuna kudadavua wala kudadavaa. Nipo "crystal clear".
Na nashukuru pia wewe sio mama yangu wala bibi yangu. Nisingetaka mzazi wangu ama jamaa yangu yeyote akose staha na hekima kama ulivyokosa wewe bwege mtozeni.Mimi siyo mama'ko wala bibi yako. Ficha upumbavu wako.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
Inna lillahiKitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.