Haji Manara: Nimeshamuonya DC wa Arumeru Jerry Muro akiendelea Kunishambulia natoa Siri yake Kubwa mno na Mbaya sana

Haji Manara: Nimeshamuonya DC wa Arumeru Jerry Muro akiendelea Kunishambulia natoa Siri yake Kubwa mno na Mbaya sana

Ila cha ajabu siku Muro akitema dongo moja tu kwa Manara utaona chozi lake na povu zito huku akitafuta huruma ya watz
Aende juu arudi chini dawa ya Manara ni Muro
 
Haji Manara anatapatapa hamwezi Jerry Muro

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongea hapa kila siku ni Haji,tangu siku ile kabla ya mechi Muro hajaongea tena,ila povu la Haji naona halijakauka,ahahaha
Dongo moja tu la Muro latosha kumliza Manara,na hapa tunaomba FA tukutane fainali,ila tumnywe vizuri mnyama ili afunge kabisa ilo domo
 
Katika watu wanaomuweza na kumtesa sana Haji ni DC Jerry! Tangu enzi zile mpaka leo Jerry anampatia mno Haji! Tatizo Haji anapenda kuonekana yeye ni zaidi, sasa akichapwa huwa anateseka sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haji si lolote wala chochote kwa Muro,hilo wote twajua,mwache abwatuke,siye twasubiria tuingie fainali na Simba kombe la FA,hapo ndipo Muro ataibuka tena,tumchape mnyama na kisha Haji afunge domo lake
 
Mambo binafsi yapi? Ukiingia kwenye mpira unapigwa kotekote usichague makonde.

Kama Jerry anaoudhaifu ambao Haji kwake ni mtaji ammalize, lkn ukipewa za uso unalialia kuomba msaada kwa wengine.

Jerry akitoa scud moja tu, Haji huweweseka muda wote. Kuna kipindi waliitwa wote studio za CLOUDS FM kipindi cha sports Extra , Haji alipofika akamwaga yake alipoambiwa subiri Basi Jerry anakuja mjibishane hoja kwa hoja .akagoma na kuondoka.

Hao anaosema marafiki zake Jimmy Kindoki anasema alimpa makavu live mpaka Kamblock Instagram, hakuna asiye Jua Haji hupenda kuwa " mfalme wa kushambulia wenzake" akikutana na KIGINGI anatapatapa mno mpaka HURUMA.
Muro si lolote wala chochote kwa Muro,ilo liko wazi
 
Back
Top Bottom