Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Mmmmh utakuwa wa mjini kitambo hadi hotel watu wanaijua anayo fikiaga video zipoHahahaha nilimsikiliza Haji alivyosema kwamba aliheshimu mamlaka ya uteuzi hivyo akashindwa kutoa hiyo siri hapo awali ila alimwambia ukirudia tena nitatoa siri yako hii.
Tetesi jamaa ni GASHO analiwa KIBOGA au ana michezo ya KIGASHO kama alivyosema DADA LAO LA USA.
Sent using Jamii Forums mobile app