Haji Manara: Nimeshamuonya DC wa Arumeru Jerry Muro akiendelea Kunishambulia natoa Siri yake Kubwa mno na Mbaya sana

Ila cha ajabu siku Muro akitema dongo moja tu kwa Manara utaona chozi lake na povu zito huku akitafuta huruma ya watz
Aende juu arudi chini dawa ya Manara ni Muro
 
Haji Manara anatapatapa hamwezi Jerry Muro

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongea hapa kila siku ni Haji,tangu siku ile kabla ya mechi Muro hajaongea tena,ila povu la Haji naona halijakauka,ahahaha
Dongo moja tu la Muro latosha kumliza Manara,na hapa tunaomba FA tukutane fainali,ila tumnywe vizuri mnyama ili afunge kabisa ilo domo
 
Katika watu wanaomuweza na kumtesa sana Haji ni DC Jerry! Tangu enzi zile mpaka leo Jerry anampatia mno Haji! Tatizo Haji anapenda kuonekana yeye ni zaidi, sasa akichapwa huwa anateseka sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haji si lolote wala chochote kwa Muro,hilo wote twajua,mwache abwatuke,siye twasubiria tuingie fainali na Simba kombe la FA,hapo ndipo Muro ataibuka tena,tumchape mnyama na kisha Haji afunge domo lake
 
Muro si lolote wala chochote kwa Muro,ilo liko wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…