Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Haji Manara ameendelea kuanika maovu ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, kupitia Instagram yake, Haji Manara amesema haya kuhusu Paul Makonda kulazimisha uteuzi katika Klabu ya Simba.
Ukalazimisha uteuzi Simba kwa nguvu, ktk hili MO alikuwa hana namna asilaumiwe, angefanyaje na yy ni mfanyabiashara anaetafuta amani ktk biashara zake,,nakumbuka nilimwambia huyu wa nn wakati hana ajualo kuhusu football? Akanijibu,Haji acha tu mdogo wangu,,tuepushe kikombe kibaya kipite,,mbona leo hatukuoni ktk huo ushauri wa michongo?