Haji Manara: Paul Makonda alilazimisha kwa nguvu uteuzi Simba SC, Mo Dewji asilaumiwe hakuwa na namna

Wote tunaelewa uongozi wa makonda haukufata maadili ya sheria na kwa namna yeyote makonda hawezi kuepuka lawama

Hakuna namna anaweza convice mtu timamu kuwa anawindwa na wabaya wa madawa ya kulevya aliowaumbua kwa njia za haki na sio kubambikiza

Ila hii slip slope ya manara ndio inanifanya zaidi nimuache makonda nimfikirie Manara

Kwanini mpaka saizi sijaona mtu yeyote ambaye alikuwa mhanga wa utawala wa makonda ameonesha kulivalia njuga hili swala kama navyomuona Manara?

Kuna mtu nyuma yake au ni kujipendekeza kwa mabosi?

Nini kinachompa jeuri Manara kiasi akose uoga maana sio mara moja anam attack. Alianza kumnanga indirect kwa kutuma ujumbe wa kimafumbo lakini saizi kaenda mbali zaidi, ni nini kinachompa confidence hiyo?
 
Ndio maisha yake na Manara ni maarufu kuliko wewe lazma umfuatilie tu hakuna namna.
 
Wote tunaelewa uongozi wa makonda haukufata maadili ya sheria na kwa namna yeyote makonda hawezi kuepuka lawama

Hakuna namna anaweza convice mtu timamu kuwa anawindwa na wabaya wa madawa ya kulevya aliowaumbua kwa njia za haki na sio kubambikiza

Ila hii slip slope ya manara ndio inanifanya zaidi nimuache makonda nimfikirie Manara

Kwanini mpaka saizi sijaona mtu yeyote ambaye alikuwa mhanga wa utawala wa makonda ameonesha kulivalia njuga hili swala kama navyomuona Manara?

Kuna mtu nyuma yake au ni kujipendekeza kwa mabosi?

Nini kinachompa jeuri Manara kiasi akose uoga maana sio mara moja anam attack. Alianza kumnanga indirect kwa kutuma ujumbe wa kimafumbo lakini saizi kaenda mbali zaidi, ni nini kinachompa confidence hiyo?
Makonda vs GSM.. manara anatumika
 
Sio rahisi wahanga wengine wa Makonda kujitokeza hadharani kusema yaliyowakuta kwa sababu wanajua kesho au keshokutwa Makonda anaweza kurudi tena kwenye mamlaka. Manara yeye hajali hilo.

Manara yuko kazin na boss ni Gsm
 
Tumemsikia Mtakatifu Haji Manara akitoa mapovu mdomoni
 
Sio rahisi wahanga wengine wa Makonda kujitokeza hadharani kusema yaliyowakuta kwa sababu wanajua kesho au keshokutwa Makonda anaweza kurudi tena kwenye mamlaka. Manara yeye hajali hilo.
Kama wahanga wamekuwa waoga kwa kuhofia hayo, kwanini manara amekuwa jasiri asiyejali?
 
naona huu mtifuano umeingiliwa na machawa wa mjini, huu mwingine ni unafiki tu, inawezekana Makonda ana makosa yake lakini uanamume ilikuwa kupambana naye nyakati zilezile akiwa na miguvu....

kwa sasa wengine ni wanafiki tu, CHIDI BENZI MSANII WA BONGO FLEVA NDIO MWANAUME PEKEE ALIYETOKA HADHARANI NA KUMPA UKWELI MAKONDA..... wengine mlidisolve na kuishia kuwa chawa wake tu...HATA ROMA ALIVYOTEKWA PAMOJA NA KUWEPO USA LAKINI HAKATHUBUTU KUNYANYUA MDOMO NA KUUSEMA UKWELI...
 
Manara ni kama Steve Nyerere ila yeye anajua kupangilia maneno vizuri zaidi kwa weledi.
Kama ikitokea Makonda akayapata mamlaka tena atarudi kuwa "chawa" wake. Ndivyo alivyo.

Back
Top Bottom