Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Kumtetea Makonda kunahtaji ujitoe akili kabisa.Kama yeye alivyolazimisha kuwa juu ya club hadi wakamtimua
Kumtetea Makonda kunahtaji ujitoe akili kabisa.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Bongo sihami [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bashite Mpaka sasq umeshapigwa 5 bila dakika ya 89 tulia wana bashite..Tafuta eneo porini zamana huko Ulime kilimo kikubwa ukiibuka wananzengo wawe wamepoa lima hata ngano wewe huoni tunasota na Ngano haitoshi au mafuta ya kula??
Nchi hii siku hizi zaidi ya 98% ya Vita za CHUKI, MANENO, na SHUTUMA Ni maslahi na NJAA.Haji Manara ameendelea kuanika maovu ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, kupitia Instagram yake, Haji Manara amesema haya kuhusu Paul Makonda kulazimisha uteuzi katika Klabu ya Simba.
Ukalazimisha uteuzi Simba kwa nguvu, ktk hili MO alikuwa hana namna asilaumiwe, angefanyaje na yy ni mfanyabiashara anaetafuta amani ktk biashara zake,,nakumbuka nilimwambia huyu wa nn wakati hana ajualo kuhusu football? Akanijibu,Haji acha tu mdogo wangu,,tuepushe kikombe kibaya kipite,,mbona leo hatukuoni ktk huo ushauri wa michongo?