Kwani wewe unachukia umaarufu? Bila umaarufu hauwezi ukawa tajiri.Unapenda umaarufu kijana?
Haji anasema haya sababu ya kumpendezesha bosi wake gaidi GSM fadhili wa Yanga, na si yeye bali huo mdomo unatumika kama speaker ya GSM, bila GSM Manara ataukimbia mji, huyu bwana bila wahaindi na waarabu hana jeuri ya kuishi mjini, mwanzo aliishi kwa dua za MO na sasa kwa ulamba viatu kwa Gharibu. Jamaa kama mwananamke wa kigodoroHaji Manara ameendelea kuanika maovu ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, kupitia Instagram yake, Haji Manara amesema haya kuhusu Paul Makonda kulazimisha uteuzi katika Klabu ya Simba.
Ukalazimisha uteuzi Simba kwa nguvu, ktk hili MO alikuwa hana namna asilaumiwe, angefanyaje na yy ni mfanyabiashara anaetafuta amani ktk biashara zake,,nakumbuka nilimwambia huyu wa nn wakati hana ajualo kuhusu football? Akanijibu,Haji acha tu mdogo wangu,,tuepushe kikombe kibaya kipite,,mbona leo hatukuoni ktk huo ushauri wa michongo?
Motivational speakers bana [emoji1][emoji1][emoji1]naona huu mtifuano umeingiliwa na machawa wa mjini, huu mwingine ni unafiki tu, inawezekana Makonda ana makosa yake lakini uanamume ilikuwa kupambana naye nyakati zilezile akiwa na miguvu....
kwa sasa wengine ni wanafiki tu, CHIDI BENZI MSANII WA BONGO FLEVA NDIO MWANAUME PEKEE ALIYETOKA HADHARANI NA KUMPA UKWELI MAKONDA..... wengine mlidisolve na kuishia kuwa chawa wake tu...HATA ROMA ALIVYOTEKWA PAMOJA NA KUWEPO USA LAKINI HAKATHUBUTU KUNYANYUA MDOMO NA KUUSEMA UKWELI...
Unasema vp haimuhusu wakat alishawah fanyiwa mabaya na Makonda,akiona Makonda analalamika na yy anakumbuka mabaya aliyofanyiwa na Makonda.Jiweke kwenye position yake halafu ndio umuhukum.Kwa wanaomjua haji manara naomba wamwambie yeye Kama muislamu anayehakikisha dini yake hasa katika kipindi hiki Cha ramadhani pili anashindwa kumuheshimu mkristu mwenzake Alie kwenye kipindi Cha kwarezima hvyo kwa busara ya utu alipaswa kunyamaza na kiheshimu utu wake na Imani yake hasa kipindi Kama hiki.
Manara ajiangalie anatumika vibaya kwa Hali yake aliyonayo na jinsi alivyo anatumika vibaya na wenye Vita na makonda.
Mwisho Sion ulazima wa yeye kuanza kusema haya Leo Kama Mimi nisivyo na ulazima wa kukoment hii issue hapa sababu hainihusu Kama ilivyo haimuhusu manara.
Tukutane kwenye kufuturu na kufungulia kwa yote tuliyokuwa tumeyafunga leo