Izy_Name
JF-Expert Member
- Apr 9, 2020
- 772
- 1,733
"Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah.
Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya Wagagagigikoko ila ni Kwa kudra ya Mungu tu, bado nna endorsements za nguvu kuwazidi, bado natajika kila eneo, mmebakia uchawi na uchawi tu.

Sasa wanahangaika na kunisingizia uongo mpya, hivi mimi ni nani nimtukane Mtu kisha Mamlaka za Nchi ziniache? Unamuuliza swali Source eti Huku nyuma Haji alikuwa anakutukana sana mitandaoni,,je akikuomba radhi utamsamehe? Mohamed aone nimemtukana aniache?
Mwandishi hopeless kabisa
Leading question lenye upumbavu wa hali ya juu,,nia hapo ni kuonyesha taswira mbaya dhidi yangu,,,Good luck mimi sina ugomvi na Mohammed, tumetofautiana kikazi, Yes!
Please Waandishi wenzangu, mnapokwenda kufanya mahojiano na Watu, Muulize maswali ya maana sio kuuliza maswali ya kufurahisha Tumbo ili kesho libehue.Tunazo changamoto nyingi za kupata majawabu,Haji mumuache tu,ni kitu kingine kabisa, kutwa Haji Haji.
Sijawahi kumtusi Mohamed na kama lipo liwekwe hadharani hilo tusi, labda kusema Bilioni ishirini hazijawekwa benki ndio tusi.na infact simlaumu kabisa Mudi, amefosiwa ajibu vile kwa maslahi yao,huyu ni Tajiri ningemtusi mida hii nipo na Sabaya mahali.
Naombeni niachieni mimi ni mfungwa ,mnahangaikaje na mtu aliyefungiwa?
Mimi kitambo kirefu nimetulia huku Kwa Wananchi wenzangu, shida ya nini sasa, mnapambana na kivuli changu Mchana hadi Usiku,mnaumia na matakwa ya Allah?
Nb: kadri mnavyonijadili hiki kipindi nikiwa nje ya football mnanisaidia kuniwekea brand yangu juu, nzuri mno hii kwangu.