Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

Ilo halina tatizo kwa sababu ,sio ulemavu ,ni sawa na kumuita mwarabu Koko,au cheupe dawa,au chausi mangala,haya hayana hayana shida kwa sababu ata ukimuita mtu cheupe dawa,hakuna uhalisia kwamba weupe wake ni dawa
Hiyo ni tafsiri yako wewe But haupo sahihi,mtu atambulike kwa Jina lake na sio Skin color,ethnic..
 
Mazeruzeru/ albino wanakua wakorofi sana sana ukitaka zeruzeru akusifu muite kwa jina Zungu uone hadi jino la mwisho
Kiwete na mlemavu wa miguu yote yanamanisha kitu kimoja
Ila kiwete ni kama linaukakasi kidogo
 
Mtu Aliye sawa Kiakili hawezi kukaa na kusoma Post za Manara, Kwasababu Content ya Post zake Hazijawahi kubadirika, Kama Sio atasifia basi ataponda akienda mbali zaidi atatafuta Huruma kwa Watanzania.

Hivyo Binafsi huwa Sipotezi muda Kusoma Post zake

Alimtukana Mo kila Mahali na kila Mtanzania Alisikia na kuona
 
Leta post moja kama mfano
 
Kiwete na mlemavu wa miguu yote yanamanisha kitu kimoja
Ila kiwete ni kama linaukakasi kidogo

Hapana hata usipotumia neno zeruzeru kamwe habadiliki mbona watu weusi tunaitwa black au cheusi na unaitika kwa sababu kwenye lugha kuna kitu kinaitwa pragmatism ( reality of something) mambo ya tafsida ni unafiki tu ndio maana ukiwa congo maneno kama kwenda kunya yanatamkwa kama yalivo ukirudi bongo utaambiwa kwenda kunisaidia, kujamba inatamkwa kama ilivo kenya lakini bongo linaonekana neno la aibu, tafsida ni asili ya aibu na aibu mara nyingi inabeba unafiki
Haji ni zeruzeru basi.
 
Aahaaa
 
Back
Top Bottom