Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

Mtu Aliye sawa Kiakili hawezi kukaa na kusoma Post za Manara, Kwasababu Content ya Post zake Hazijawahi kubadirika, Kama Sio atasifia basi ataponda akienda mbali zaidi atatafuta Huruma kwa Watanzania.

Hivyo Binafsi huwa Sipotezi muda Kusoma Post zake

Alimtukana Mo kila Mahali na kila Mtanzania Alisikia na kuona
mimi nilimblock Manara na Mange cos niliona hawana athari + kwangu yaani kumsikiliza Manara na Mange niliona ni matumizi mabaya ya bando zangu.Mtu mwenye ulimi wenye kauli za matusi,kejeli na masimango hafai kupewa airtime mbele ya watu timamu.


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Na lile suala lako na Mzee Tozi nalo tusiliongelee? Mjinga kabisa!Mimi nadhani napaswa kuliongelea ukizingatia napinga mambo ya LGBTQ nikiungana na Rais Yoweri Museveni. Manara usithubutu kuleta mambo ya ushoga huku Uganda, huku tuna 'firing squad' mbaya sana since Idi Amin's days. Huo ujinga wa [emoji304] upeleke Zanzibar.
Chombo ya Mzee Tozi wa bandarini

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Haki haijali tajiri au maskini, Manara ni zezeta tu, kwa hiyo anaweza kumtukana maskini kwasababu hatafanywa chochote na mamlaka?

Halafu kuna mazezeta kama yeye yanamshangilia.
 
Huyu jamaa akijichanganya tena atapigwa kifungo kingine juu kwa juu akavitumikie vyote concurrently, kama wanasheria wanavyosema.

Kwanza sidhani kama kwenye mambo ya mpira ataruhusiwa kurudi. Dunia imeshahama kutoka aina yake ya uhamasishaji.
 
"Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah.

Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya Wagagagigikoko ila ni Kwa kudra ya Mungu tu, bado nna endorsements za nguvu kuwazidi, bado natajika kila eneo, mmebakia uchawi na uchawi tu.



Sasa wanahangaika na kunisingizia uongo mpya, hivi mimi ni nani nimtukane Mtu kisha Mamlaka za Nchi ziniache? Unamuuliza swali Source eti Huku nyuma Haji alikuwa anakutukana sana mitandaoni,,je akikuomba radhi utamsamehe? Mohamed aone nimemtukana aniache?

Mwandishi hopeless kabisa
Leading question lenye upumbavu wa hali ya juu,,nia hapo ni kuonyesha taswira mbaya dhidi yangu,,,Good luck mimi sina ugomvi na Mohammed, tumetofautiana kikazi, Yes!

Please Waandishi wenzangu, mnapokwenda kufanya mahojiano na Watu, Muulize maswali ya maana sio kuuliza maswali ya kufurahisha Tumbo ili kesho libehue.Tunazo changamoto nyingi za kupata majawabu,Haji mumuache tu,ni kitu kingine kabisa, kutwa Haji Haji.

Sijawahi kumtusi Mohamed na kama lipo liwekwe hadharani hilo tusi, labda kusema Bilioni ishirini hazijawekwa benki ndio tusi.na infact simlaumu kabisa Mudi, amefosiwa ajibu vile kwa maslahi yao,huyu ni Tajiri ningemtusi mida hii nipo na Sabaya mahali.

Naombeni niachieni mimi ni mfungwa ,mnahangaikaje na mtu aliyefungiwa?

Mimi kitambo kirefu nimetulia huku Kwa Wananchi wenzangu, shida ya nini sasa, mnapambana na kivuli changu Mchana hadi Usiku,mnaumia na matakwa ya Allah?

Nb: kadri mnavyonijadili hiki kipindi nikiwa nje ya football mnanisaidia kuniwekea brand yangu juu, nzuri mno hii kwangu.
MANARA umemtukana MO Mara nyingi sana MO ni mstaraabu ningekuwa mimi ningeshakufungwa huwa sichezewi na Wahuni kama Wewe
 
Na lile suala lako na Mzee Tozi nalo tusiliongelee? Mjinga kabisa!Mimi nadhani napaswa kuliongelea ukizingatia napinga mambo ya LGBTQ nikiungana na Rais Yoweri Museveni. Manara usithubutu kuleta mambo ya ushoga huku Uganda, huku tuna 'firing squad' mbaya sana since Idi Amin's days. Huo ujinga wa [emoji304] upeleke Zanzibar.
Duuuuuh hii kali sasa,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mazeruzeru/ albino wanakua wakorofi sana sana ukitaka zeruzeru akusifu muite kwa jina Zungu uone hadi jino la mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu sijui kwann yaan.
 
Back
Top Bottom