Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

Hii inaitwa 'Mwana Ukome', Manara kajua kuwapiga ngumi za macho hawa yeboyebo.

Ova
 
Kumwita Haji Manara Ambaye Ni Afisa Hbr Wa Klabu, Eti Ni ZERUZERU, Huo Sio Ustaarabu Wa Kisoka Wala Kitanzania Au Kibinadamu!! HUO Ni Unyanyapaa Na Ubaguzi Mkubwa, Uliyemwita Hivyo Yakupasaa Uombe Radhi Na Ufute Kauli Yako!! Mbona Yeye (HAJI MANARA) Hajaongea Ubaguzi Na Unyanyapaa Kwa Mtu Binafsi, Ameweka Data Zake Hapo, Na Amesema Mwenye Kutaka Kupinga, Basi Apinge Kwa Data Pia, Sio Porojo Na Propaganda Tu!! Ameenda Mbali, Kuwa Watu WAJADILIANE Issues, Sio Watu Na Maisha Yao, Kasoro Zao Za Kiumbaji N.k. SASA Mtu Kusema "ETI ZERUZERU HAPO ANAONA AMEONGEA "Sio Sehemu Ya Soka!!
 
Kwa kuwa anazungumzia Simba FC ukilinganisha na timu ya Yanga,nilidhani angelilinganisha na kulinganua (Compare and Contrast) kumbe ameorodhesha tu zile za Simba tofauti na dhamira yake..Katika historia Uingereza ndiyo ilikuwa ndio nchi ya kwanza kuwa na Viwanda,uliza leo kama bado wanaongoza.

Kwa hiyo wewe kwa ushauri wako unataka tufute historia? Sasa tutajitofautishaje na klabu kama Azam au Ashanti?!
Manara kashawaambia jibuni kwa data, kama huna data basi funga bakuli lako.
Mliutaka wenyewe huu moto wa Manara, sasa iweje mlalamike mnaungua?

Ova
 
Kumwita Haji Manara Ambaye Ni Afisa Hbr Wa Klabu, Eti Ni ZERUZERU, Huo Sio Ustaarabu Wa Kisoka Wala Kitanzania Au Kibinadamu!! HUO Ni Unyanyapaa Na Ubaguzi Mkubwa, Uliyemwita Hivyo Yakupasaa Uombe Radhi Na Ufute Kauli Yako!! Mbona Yeye (HAJI MANARA) Hajaongea Ubaguzi Na Unyanyapaa Kwa Mtu Binafsi, Ameweka Data Zake Hapo, Na Amesema Mwenye Kutaka Kupinga, Basi Apinge Kwa Data Pia, Sio Porojo Na Propaganda Tu!! Ameenda Mbali, Kuwa Watu WAJADILIANE Issues, Sio Watu Na Maisha Yao, Kasoro Zao Za Kiumbaji N.k. SASA Mtu Kusema "ETI ZERUZERU HAPO ANAONA AMEONGEA "Sio Sehemu Ya Soka!!

Kwa kawaida watu waliofilisika kichwani huacha hoja na kukimbilia matusi na kebehi.
Wameshashindwa kujibu hoja hao ndio maana wameanza kuleta viroja sasa hao yeboyebo.

Ova
 
Kikubwa Wale WANAODAI Klabu Yao Ndio Yenye Hadhi Ya Kuitwa Ya Kimataifa, Basi Si Waweke Data Hapa, Ili Tulinganishe Na Kuona UKWELI Na UONGO Ni Upi!!!?? Sio Matusi, Kejeli, Kashfa N.k. Twende Kwa Data Jmn!! Kama Ni Wakimataifa Kwa KUSHIRIKI Tu Michuano Na Kuishia Raundi Za Mwanzo Tu, Hapo Sawa!! KAMA Yanga Wanajitoa Ufahamu Na Kujiona Timu Yao Ni Ya Kimataifa, Na TP Mazembe Watajiita Vp!!!?? KWELI Mpira Wa Tanzania Una Safari Ndefu Mno, Kwa Viongozi Na Washabiki Wa Aina Hii!!! TUNAOMBA Data Hapa Tufanye Ulinganifu Na Kumaliza Ubishi Wa KIPUUZI!!!!
 
Hilo hilo bwawa linatufaa muda mrefu tu, VP nyie wa "ndondo cup"!
Alafu Nawe Ni SHABIKI Wa Klabu Ya Yanga!!!!!!?? Hata Kujitambua Hauwezi!! Hebu Tuambie Timu Yako Mara Ya Mwisho Kuutumia Huo Uwanja Kwa Mazoezi Au Mechi, Ilikuwa Ni Mwaka Gani!!!?? KAMA Haujui Kaa Kimya Mkuu, Kila Siku Simba Na Yanga Wanaogombea VIWANJA Vya Watu, Kufanyia Mazoezi!! YANGA Walikuwa Wakitumia Uwanja Wa Loyola High School Na Simba Ule Wa Kinesi!! Baadae Simba Wakaahamia Boko Veteran, Kule Boko!! Baada Ya Muda Na Yanga Wamevamia Huko Boko Pia!! Sijui Huo Uwanja Unaojivunia Hapa, Ni Lini Wachezaji Wa Timu Yako Walikuwa Pale Wakifanya Mazoezi!! Kwa Taarifa Yako Kaunda Ilikuwa Ikitumika Kipindi Cha Akina Fred Felix Minziro, Keneth Mkapa, Mohammed Hussein "Mmchinga "Joseph Katuba, Juma Pondamali, Boniface Mkwasa, N.k Wakiwa Wachezaji Na Walikuwa Wakikaa Kambi Yao Pale Pale!!!
 
data za kucheza kifua wazi...Mpira ulikua zamani iyo enzi za reli morogoro,mirambo tabora,tukuyu stars,Nyota nyekundu,sigala,pan na mecco Bandar,pamba ikaja tiger ya mbeya..na ukiangalia wachezaji wazuri woote wa simba na yanga walitoka katika timu izo.
 
Kwa hiyo wewe kwa ushauri wako unataka tufute historia? Sasa tutajitofautishaje na klabu kama Azam au Ashanti?!
Manara kashawaambia jibuni kwa data, kama huna data basi funga bakuli lako.
Mliutaka wenyewe huu moto wa Manara, sasa iweje mlalamike mnaungua?

Ova
Timu ya kwanza kuvaa suti hio nayo ni data??kutaja majina ya wachezaji hio nayo ni data?? Basi kwa taarifa yako timu kama Chelshity haina historia yoyote zaidi baada ya kununuliwa na Abramovic(2003) ndio ikaibuka..Na ikaja kuchukua ECL mapema kuliko hata timu zenye historia.Haji Manara historia peleka kumbukumbu ya Taifa huko wakaweke kwenye makabrasha sawa..Sasa hivi tupo kwenye awamu ya hapa Kazi tuu... na wa kimataifa ndio wanaong'ara.Au vipi history wapelekee Liverfool maana nao wanaishi kwa hio midata ya 1930s.fyuuuuu!
 
simba ndiyo club ya kwanza kusajili professional player MCHAWI kutoka senegal mzee wa matunguli aka power bank
 
Timu ya kwanza kuvaa suti hio nayo ni data??kutaja majina ya wachezaji hio nayo ni data?? Basi kwa taarifa yako timu kama Chelshity haina historia yoyote zaidi baada ya kununuliwa na Abramovic(2003) ndio ikaibuka..Na ikaja kuchukua ECL mapema kuliko hata timu zenye historia.Haji Manara historia peleka kumbukumbu ya Taifa huko wakaweke kwenye makabrasha sawa..Sasa hivi tupo kwenye awamu ya hapa Kazi tuu... na wa kimataifa ndio wanaong'ara.Au vipi history wapelekee Liverfool maana nao wanaishi kwa hio midata ya 1930s.fyuuuuu!

Umepanic bro, hebu tulia kwanza kisha usome hiki ulichoandika hapa halafu uone hata wewe kama utaelewa.
Tulia tu kwanza, sio lazima upost humu huku ukiwa umepanikishwa hivyo na nondo za Manara.

Ova
 
Timu ya kwanza kuvaa suti hio nayo ni data??kutaja majina ya wachezaji hio nayo ni data?? Basi kwa taarifa yako timu kama Chelshity haina historia yoyote zaidi baada ya kununuliwa na Abramovic(2003) ndio ikaibuka..Na ikaja kuchukua ECL mapema kuliko hata timu zenye historia.Haji Manara historia peleka kumbukumbu ya Taifa huko wakaweke kwenye makabrasha sawa..Sasa hivi tupo kwenye awamu ya hapa Kazi tuu... na wa kimataifa ndio wanaong'ara.Au vipi history wapelekee Liverfool maana nao wanaishi kwa hio midata ya 1930s.fyuuuuu!
Khaa,basi hakuna haja ya kuwakumbuka kina Pele,Maradona,
Kuna haja gani ya timu Kama Man u kutaka kujenga sanamu ya Bob Charlton kama history is nothing
 
Back
Top Bottom