Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Simba ndo club ya kwanza Tanzania kujenga uwanja wake Bunju....Manara ameisahau hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa anazungumzia Simba FC ukilinganisha na timu ya Yanga,nilidhani angelilinganisha na kulinganua (Compare and Contrast) kumbe ameorodhesha tu zile za Simba tofauti na dhamira yake..Katika historia Uingereza ndiyo ilikuwa ndio nchi ya kwanza kuwa na Viwanda,uliza leo kama bado wanaongoza.
Kumwita Haji Manara Ambaye Ni Afisa Hbr Wa Klabu, Eti Ni ZERUZERU, Huo Sio Ustaarabu Wa Kisoka Wala Kitanzania Au Kibinadamu!! HUO Ni Unyanyapaa Na Ubaguzi Mkubwa, Uliyemwita Hivyo Yakupasaa Uombe Radhi Na Ufute Kauli Yako!! Mbona Yeye (HAJI MANARA) Hajaongea Ubaguzi Na Unyanyapaa Kwa Mtu Binafsi, Ameweka Data Zake Hapo, Na Amesema Mwenye Kutaka Kupinga, Basi Apinge Kwa Data Pia, Sio Porojo Na Propaganda Tu!! Ameenda Mbali, Kuwa Watu WAJADILIANE Issues, Sio Watu Na Maisha Yao, Kasoro Zao Za Kiumbaji N.k. SASA Mtu Kusema "ETI ZERUZERU HAPO ANAONA AMEONGEA "Sio Sehemu Ya Soka!!
Alafu Nawe Ni SHABIKI Wa Klabu Ya Yanga!!!!!!?? Hata Kujitambua Hauwezi!! Hebu Tuambie Timu Yako Mara Ya Mwisho Kuutumia Huo Uwanja Kwa Mazoezi Au Mechi, Ilikuwa Ni Mwaka Gani!!!?? KAMA Haujui Kaa Kimya Mkuu, Kila Siku Simba Na Yanga Wanaogombea VIWANJA Vya Watu, Kufanyia Mazoezi!! YANGA Walikuwa Wakitumia Uwanja Wa Loyola High School Na Simba Ule Wa Kinesi!! Baadae Simba Wakaahamia Boko Veteran, Kule Boko!! Baada Ya Muda Na Yanga Wamevamia Huko Boko Pia!! Sijui Huo Uwanja Unaojivunia Hapa, Ni Lini Wachezaji Wa Timu Yako Walikuwa Pale Wakifanya Mazoezi!! Kwa Taarifa Yako Kaunda Ilikuwa Ikitumika Kipindi Cha Akina Fred Felix Minziro, Keneth Mkapa, Mohammed Hussein "Mmchinga "Joseph Katuba, Juma Pondamali, Boniface Mkwasa, N.k Wakiwa Wachezaji Na Walikuwa Wakikaa Kambi Yao Pale Pale!!!Hilo hilo bwawa linatufaa muda mrefu tu, VP nyie wa "ndondo cup"!
sasa mbona umeweka picha ya kijana mkuu?,ha ha hakumbe wewe bado bwana mdogo tuu halaf ni ccm
Timu ya kwanza kuvaa suti hio nayo ni data??kutaja majina ya wachezaji hio nayo ni data?? Basi kwa taarifa yako timu kama Chelshity haina historia yoyote zaidi baada ya kununuliwa na Abramovic(2003) ndio ikaibuka..Na ikaja kuchukua ECL mapema kuliko hata timu zenye historia.Haji Manara historia peleka kumbukumbu ya Taifa huko wakaweke kwenye makabrasha sawa..Sasa hivi tupo kwenye awamu ya hapa Kazi tuu... na wa kimataifa ndio wanaong'ara.Au vipi history wapelekee Liverfool maana nao wanaishi kwa hio midata ya 1930s.fyuuuuu!Kwa hiyo wewe kwa ushauri wako unataka tufute historia? Sasa tutajitofautishaje na klabu kama Azam au Ashanti?!
Manara kashawaambia jibuni kwa data, kama huna data basi funga bakuli lako.
Mliutaka wenyewe huu moto wa Manara, sasa iweje mlalamike mnaungua?
Ova
Nd9 tatizo lenu mbumbumbu fc kamuulize manara anajuaMwaka gani,acha ushabiki wakipumbavu Wewe,toa data
Timu ya kwanza kuvaa suti hio nayo ni data??kutaja majina ya wachezaji hio nayo ni data?? Basi kwa taarifa yako timu kama Chelshity haina historia yoyote zaidi baada ya kununuliwa na Abramovic(2003) ndio ikaibuka..Na ikaja kuchukua ECL mapema kuliko hata timu zenye historia.Haji Manara historia peleka kumbukumbu ya Taifa huko wakaweke kwenye makabrasha sawa..Sasa hivi tupo kwenye awamu ya hapa Kazi tuu... na wa kimataifa ndio wanaong'ara.Au vipi history wapelekee Liverfool maana nao wanaishi kwa hio midata ya 1930s.fyuuuuu!
Muro hawez jibu hiz hoja,mana sio mtu wa mpira hata wachezaji wa yanga wa 2010 kama anawajuaHii inaitwa 'Mwana Ukome', Manara kajua kuwapiga ngumi za macho hawa yeboyebo.
Ova
Khaa,basi hakuna haja ya kuwakumbuka kina Pele,Maradona,Timu ya kwanza kuvaa suti hio nayo ni data??kutaja majina ya wachezaji hio nayo ni data?? Basi kwa taarifa yako timu kama Chelshity haina historia yoyote zaidi baada ya kununuliwa na Abramovic(2003) ndio ikaibuka..Na ikaja kuchukua ECL mapema kuliko hata timu zenye historia.Haji Manara historia peleka kumbukumbu ya Taifa huko wakaweke kwenye makabrasha sawa..Sasa hivi tupo kwenye awamu ya hapa Kazi tuu... na wa kimataifa ndio wanaong'ara.Au vipi history wapelekee Liverfool maana nao wanaishi kwa hio midata ya 1930s.fyuuuuu!
Barcelona hio mkuu. Kila idara ilikamilika.