Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

Kweli Mpira Umeingia VILAZA!!!! Hivi History Sio Sehemu Ya Soka Kweli!!!!?? Haya Huo Wakimataifa Wenu Kwa Miaka Ambayo Mnashiriki Kwa Kuiwakilisha Tanzania, Ni Mafanikio Yepi Ambayo Mmeyafikia!!?? Zaidi Kuishia Raundi Ya Kwanza Au Pili Tu!!!!
Tulia POPOMA wewe,ni wapi nilikosema historia sio sehemu ya soka?
Hivi umenisoma kwa umakini nilichokiandika au umekurupuka tu kama ulikuwa unaoga nje likapita kundi la watu?

Sio kosa lako,wanaonielewa nilichokiandika ni wenye akili kubwa tu,popoma kama wewe kwako ni kiza.
 
HaJI Manara umesumbuka bureee kuweka facts ambazo zinajulikana na kila mpenda michezo hasa mpira wa miguu.

Ukiona mtu anjitutumua watu wamjue ni tajiri uje bado hajawa tajiri. Matajiri huwa wanajulikana tu hata kama maisha yao ni ya kimya kimya.
 
Kweli Mpira Umeingia VILAZA!!!! Hivi History Sio Sehemu Ya Soka Kweli!!!!?? Haya Huo Wakimataifa Wenu Kwa Miaka Ambayo Mnashiriki Kwa Kuiwakilisha Tanzania, Ni Mafanikio Yepi Ambayo Mmeyafikia!!?? Zaidi Kuishia Raundi Ya Kwanza Au Pili Tu!!!!
sio Raundi ya Pili

Tumecheza Fainali

Simba sports club

12.Simba ndiyo timu pekee nchini na Afrika Mashariki kufika fainali ya kombe la Caf na hii ilikuwa1993.
 
Yeye Kaweka Ushahidi Wake Hapo Tena Uliojaa FACTS Tupu. Tunaomba Wewe au Jerry Muro Mtuwekee Wenu Ili Mumpinge Kisomi Na Siyo Kihuni Na Kiswahili Kama Ulivyoandika Hapo. Naanza Kukudharau Taratibu!

Simba ni timu ya mpira miguu.... Mashairi si mahali pake..

Nilitarajia Haji akitamka timu imeanza kumiliki uwanja wske lini?

Suti! Kwani nyie bwana harusi?

Basi! Kwani nyie MUWADA?

Jengo? Nyie NHC?

Ulaya? Nyie wazamiaji?

Wa kimataifa? Naomba tskwimu lini Simba wamepita na kombe airport wakagonga passport pale!!

Ukitaka kujua wa kimataifa ni nani kachukue passport za akina Lunyamila, Chinga, Chambua..

Haji ni wa matopeni tu
 
Umesahau viatu mkuu....

Asante sana,umenikuna kwelikweli tena kulikotukuka.
 
Tulia POPOMA wewe,ni wapi nilikosema historia sio sehemu ya soka?
Hivi umenisoma kwa umakini nilichokiandika au umekurupuka tu kama ulikuwa unaoga nje likapita kundi la watu?

Sio kosa lako,wanaonielewa nilichokiandika ni wenye akili kubwa tu,popoma kama wewe kwako ni kiza.

Nimekupa " Like " Kwa Kulitumia Tu Vizuri Neno Pendwa Na LILILOTUKUKA La " POPOMA " Na Siyo Hizo Pumba Zako. Mrembo Mzima Unashabikia Yanga. au Umerogwa?
 
Umesahau viatu mkuu....

Asante sana,umenikuna kwelikweli tena kulikotukuka.

Hapa Tena Nimekupa " Like " Yangu Kwa Kulitumia Tena Neno Lingine Pendwa La " KUTUKUKA " Ila Siyo Huo " Upuuzi " Wako Uliouandika.
 
Nimekupa " Like " Kwa Kulitumia Tu Vizuri Neno Pendwa Na LILILOTUKUKA La " POPOMA " Na Siyo Hizo Pumba Zako. Mrembo Mzima Unashabikia Yanga. au Umerogwa?
Hapa Tena Nimekupa " Like " Yangu Kwa Kulitumia Tena Neno Lingine Pendwa La " KUTUKUKA " Ila Siyo Huo " Upuuzi " Wako Uliouandika.
Hahahahahaaa kweli nimecheka sana.
Sio mimi tu,humu watu wengi wanayatumia sana hayo maneno....
Mie huishia kucheka tu.
Umetisha sana popoma.
 
Kama Watu Wanayatumia Hayo Maneno Mawili Pendwa Ya " POPOMA " Na " KUTUKUKA " Sehemu Mbalimbali Ni Furaha Kubwa Mno Kwangu. Huwezi Amini Nimetoka Kununua Kitu Sasa Hivi Dukani Nimemsikia Kaka Mmoja Anamwita Mwenzake POPOMA Nikacheka Mno Na Laiti Angejua Kuwa MWANZILISHI Wa Hilo Neno Nilikuwa Nae Hapo Jirani Tu Sijui Angejisikiaje.
 
Si Hivyo Tu Mkuu, Bali Hata Uandishi Wake Wa Hbr, Sio Wa Michezo Kama Walivyo Maafisa Hbr Wengi Wa Hbr Wa Vilabu Vya Ligi Kuu Na Daraja La 1!

Hakika GENTAMYCINE Impact Yangu Ni Kubwa Humu JF Na Katika JAMII Nzima. Yaani Achilia Mbali Watu Kutumia Maneno Yangu Pendwa Kumbe Wapo Hadi Watu ( Members ) Walioiga Na Wanaoendelea Kuiga Hadi Aina Yangu Ya Uandishi Humu Wa Kuanza Na HERUFI KUBWA Kila Mwanzo Wa Sentensi. Safi Sana! Sasa Natafuta Wa Kuniiga Kuweka Rangi Katika Maneno.
 
Kama Watu Wanayatumia Hayo Maneno Mawili Pendwa Ya " POPOMA " Na " KUTUKUKA " Sehemu Mbalimbali Ni Furaha Kubwa Mno Kwangu. Huwezi Amini Nimetoka Kununua Kitu Sasa Hivi Dukani Nimemsikia Kaka Mmoja Anamwita Mwenzake POPOMA Nikacheka Mno Na Laiti Angejua Kuwa MWANZILISHI Wa Hilo Neno Nilikuwa Nae Hapo Jirani Tu Sijui Angejisikiaje.
Juzikati hapo shemeji yako katika chats zetu akatumia neno TUKUKA.....
Aiseee nilicheka sana.
 
Safi Sana. Nisalimie KUNAKOTUKUKA Shemeji Yangu Na Mwambie Kwa Hakika Alifanya CHAGUO Sahihi Kuwa Na Wewe. Unachonishangaza Mwanamke Wewe Ni MZURI, MREMBO Na Una Kila Kitu Mithili Ya Mrembo Wa MISRI Cleopatra Lakini HURINGI Wala Huna DHARAU Lakini Wengine Wenye SURA Mbaya Kama ULIMI Wa KIFARU Kwa Kuringa Na Kuwa Na Mashauzi Hawajambo.
 
Hahahahahaaa,uzuri yupo humuhumu....ataziona salamu zake.

Lol,hapo kwenye ulimi wa kifaru nimecheka sana.
Asante.
 
Mmmmmmmh! Kumbe " Njemba " Yako Ipo Humu Humu Dada? Kwahiyo Madongo Yangu Yote Na Maneno Yangu Yale Ya Shombo Ninayokupa Huwa Anayaona? Kuanzia Leo Nakuwa Mpole Na Sikutanii Tena Kwani Nimesikia Pia Kuwa Mumeo Ni MKUFUNZI Wa MAKOMANDOO Wetu Kule KIZUKA Morogoro. Sasa Kama Wale Wanafunzi Wake Tu Wanapiga Misamba Angani, Wanavunja Matofali Kwa Matako Huku Mbao Zikipasuliwa Katika Mbavu Zao Mwalimu Wao Huyo Ambae Ni Mumeo Atakuwaje? Bado Najipenda Bibie Na Kuanzia Leo " Naufyata ".
 
Hahahahahaaa laiti ungejua?
Nilitaka nikuambie kitu lakini ngoja nikae kimya tu.
Ila wewe kaka yangu kipenzi hawezi kukugusa hata iweje,maana atanikasirisha kulikotukuka.
 
5fa9dcc1c1a1e43f696c2ec3938a28e1.jpg
la nyongeza
 
Back
Top Bottom