Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Tulia POPOMA wewe,ni wapi nilikosema historia sio sehemu ya soka?Kweli Mpira Umeingia VILAZA!!!! Hivi History Sio Sehemu Ya Soka Kweli!!!!?? Haya Huo Wakimataifa Wenu Kwa Miaka Ambayo Mnashiriki Kwa Kuiwakilisha Tanzania, Ni Mafanikio Yepi Ambayo Mmeyafikia!!?? Zaidi Kuishia Raundi Ya Kwanza Au Pili Tu!!!!
Hivi umenisoma kwa umakini nilichokiandika au umekurupuka tu kama ulikuwa unaoga nje likapita kundi la watu?
Sio kosa lako,wanaonielewa nilichokiandika ni wenye akili kubwa tu,popoma kama wewe kwako ni kiza.