Haji Manara: Wachambuzi wa michezo ni wanafiki na takataka

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.

Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara
 
Mzee Tozi mwenyewe anasemaje kwani??
 
Iweke hapa
 
Sina Uwezo Wa Kupandisha Hapa Mkuu Ni Voice Note ebu Nielekeze
 
TFF na simba ni chupi na ta..k!
 
Mnaomfuatilia huyu mna kazi.
 
Kwani manara ni mwandishi wa habari mpaka useme ni mwenzao?
 
Kipindi kile Mwakalebela anafungiwa aliwatukana Yanga,klabu inayo endeshwa kiholela haijui kanuni leo ana ongea vyingine na hii idea yake ya swala hili kulipeleka bungeni ni la kipuuzi tu kwa mtu anayejua mpira na kanuni za FiFA hawezi akaongea upuuzi huu.

Leo tena ana watukana Yanga kwa kusimamia kanuni,ila sio mbaya mwacheni atetee ugali wake.
 
Hao hao anaowaita takatakata ndio waliompa umaarufu aliyonayo Leo ngojea wakupige ban kama alivyo wahi kufanyiwa makonda
 
Baadhi ya waandishi na wachambuzi wa mpira bongo ni takataka kweli,

Nchi za wenzetu upuuzi kama huu uliotokea wa kuvuruga mechi ya Simba vs Yanga ungekuta waandishi wanakomalia wahusika wawajibike kwa kujiuzulu, lakini huku kwakuwa baadhi ya waandishi wana uswahiba na kujipendekeza pendekeza kwa hawa viongozi basi wanaishia kuumauma tu ktk taarifa zao na uchambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…