Haji Manara: Wachambuzi wa michezo ni wanafiki na takataka

Haji Manara: Wachambuzi wa michezo ni wanafiki na takataka

Kipindi kile Mwakalebela anafungiwa aliwatukana Yanga,klabu inayo endeshwa kiholela haijui kanuni leo ana ongea vyingine na hii idea yake ya swala hili kulipeleka bungeni ni la kipuuzi tu kwa mtu anayejua mpira na kanuni za FiFA hawezi akaongea upuuzi huu.

Leo tena ana watukana Yanga kwa kusimamia kanuni,ila sio mbaya mwacheni atetee ugali wake.
Kahoji kwa wanahabar jutihih kwa nn miaka 3 sasa Hawajafanya uchaguz vp mbona kwa hilo awasifuati hz kanuni. Je hao waandishi hawavion hvyo. MAZWAZWA HAO
 
Kahoji kwa wanahabar jutihih kwa nn miaka 3 sasa Hawajafanya uchaguz vp mbona kwa hilo awasifuati hz kanuni. Je hao waandishi hawavion hvyo. MAZWAZWA HAO
Huwezi kiwazuia wachambuzi kuongea hilo ndio kazi yao na hizi imetokea kanuni imevunjwa kuongea ni kazi yao ndio ukweli wenyewe hata Manara anayajua.

Yanga kuvunja kanuni haipi ruhusa TFF kuvunja kanuni,halafu ile Yanga ni taasisi binafsi bila shaka kuna sheria ndani ya katiba ya Yanga zina ruhusu hilo kwa kuwa wapo kwenye mchakato wa kuiendesha clup yao in a modern way na bila shaka wamekubaliana.Leo hii hili tukio lilotokea juzi likifika FIFA,TFF na nchi inafungiwa na Yanga anapewa point zake tatu na hivi anavyo lihamasisha bunge lifanye maamuzi ndivyo anawavutia FIFA kufanya maamuzi yao.
 
Kipindi kile Mwakalebela anafungiwa aliwatukana Yanga,klabu inayo endeshwa kiholela haijui kanuni leo ana ongea vyingine na hii idea yake ya swala hili kulipeleka bungeni ni la kipuuzi tu kwa mtu anayejua mpira na kanuni za FiFA hawezi akaongea upuuzi huu.

Leo tena ana watukana Yanga kwa kusimamia kanuni,ila sio mbaya mwacheni atetee ugali wake.

Daaah! Huyu very arrogant
 
Bila voice note haya yatabaki kua ni majungu tu kama majungu mengine
 
Hajawatukana kawaambia ukweli siku hizi sioni umuhimu wao maana hawatafti habari wanasubiri matamko ili wapost huo ni utakataka.
 
Wakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.

Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara
Amesema waandishi wa habari au ni wachambuzi? Mbona unapotosha makusudi?
 
Ni kweli waandishi wa habari za michezo kwa hapa bongo, wote ni takataka tu.
 
Kwa Hyo Waandishi Tuwambie Ni TakaTaka na Wanafiki Wakubwa.... In Manara Voice [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Manara anazan kuwa zeruzeru ndo kuwa juu ya sheria..
Ameshafanya mengi sana ya kipuuzi watu wanamuangalia tu..
Kiufupi amevuka mipaka AWAJIBISHWE na sheria ichukue mkondo wake maana anavuka mipaka.
Kwani kasema uongo? Meck mexime alipo tamka yale maneno yake mlipongeza, ila huyu kwakua ni Mtu wa Simba Sc anaonekana kuwa kavika mipaka sio? Hebu acheni unafiki wenu wa kipumbavu, hasira za kutokufanya viziru team yenu mnataka mzihamishie kwa wengine.
 
Hao hao anaowaita takatakata ndio waliompa umaarufu aliyonayo Leo ngojea wakupige ban kama alivyo wahi kufanyiwa makonda
Kwa alipofikia,hata wao wanamuhitaji sana kwenye vipindi vyao,Hebu fikiria unafanya mahojiano na mtu kama Bumbuli[emoji23].

Kumpigia ban Manara ukitegemea kuwa atapotea, ni sawa na walivyompiga ban Almasi ila bado akachanja mbuga. Manara ana watu wengi sana nyuma yake(mashabiki),swala la ban halitamuathiri kwa kiwango unachofikiria.
 
Naungana na Haji (kama ni yeye) media ya Bongo ni wapuuzi tu. Enzi za jiwe walikuwa kimya kwa kila kitu,amekufa wanaanza kuibua mambo. Huu ni unafiki mkubwa. Hivo hivo kwenye michezo jambo la Simba wanashupalia sana,ila ujinga wa Yanga ni mwingi hutooana wakiandika.

Naungana na Haji 100%.Naungana na Maxime anayesema soka linaongozwa na wajinga wajinga
 
Kwa alipofikia,hata wao wanamuhitaji sana kwenye vipindi vyao,Hebu fikiria unafanya mahojiano na mtu kama Bumbuli[emoji23].

Kumpigia ban Manara ukitegemea kuwa atapotea, ni sawa na walivyompiga ban Almasi ila bado akachanja mbuga. Manara ana watu wengi sana nyuma yake(mashabiki),swala la ban halitamuathiri kwa kiwango unachofikiria.
Ukubwa wa Diamond usiufananishe na haji manara haji manara anabebwa na brand ya Simba na hivyo vyombo vya habari bila ya hivi viwili si chochote
 
Back
Top Bottom