Haji Manara: Wachambuzi wa michezo ni wanafiki na takataka

Haji Manara: Wachambuzi wa michezo ni wanafiki na takataka

kwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).

Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti
 
Ukubwa wa Diamond usiufananishe na haji manara haji manara anabebwa na brand ya Simba na hivyo vyombo vya habari bila ya hivi viwili si chochote
Na ndio maana nakwambia itakuwa ngumu saana kumpoteza, kutoka na ukubwa wa brand ya simba na Idadi ya mashabiki walio nyuma yake. Njia pekee ya yeye kushuka, ni kuachana na wadhifa alionao pale Simba, na sio kwa kugomewa na media uchwara hizi.
 
kwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).

Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti
Hizi sio Zama zile za magezti na redio, wakiziba huku, habari zitaibukia kule.
 
Madhara ya kuoa kibinti alichokizidi umri,kama kachanganyikiwa sijui anachapiwa
 
acheni ulofa na uchochezi nyinyi mapimbi, kasema WACHAMBUZI WA SOKA si WAANDISHI wa SOKA..Wachambuzi wa soka bongo ni kama Mashabiki tuu...
 
kwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).

Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti
ukiacha kuongelea simba kipindi chako cha michezo kinakufa .
 
Kwa alipofikia,hata wao wanamuhitaji sana kwenye vipindi vyao,Hebu fikiria unafanya mahojiano na mtu kama Bumbuli[emoji23].

Kumpigia ban Manara ukitegemea kuwa atapotea, ni sawa na walivyompiga ban Almasi ila bado akachanja mbuga. Manara ana watu wengi sana nyuma yake(mashabiki),swala la ban halitamuathiri kwa kiwango unachofikiria.
Jidandanye, Diamond ana media yake manara ana nini?
 
Wakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.

Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara
Nampongeza na nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya alivyowaita 'Takataka' kwa sababu zangu zifuatazo:

1. Wengi wao wako katika 'payrol' ya Yanga

2. Wengi wao ni Wanafiki sana

3. Wengi wao wana Chuki na Simba

4. Wengi wao wana Wivu na Mafanikio ya Simba

5. Wengi wao wana Upendeleo katika Uchambuzi

6. Wengi wao wanatumika Kuichafua Simba

7. Wengi wao wana Husuda binafsi na Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara na Msemaji Manara

Ni imani yangu kubwa sasa kwa kuitwa Kwao 'Takataka' baadhi ya Wachambuzi wa Mpira na Watangazaji wa Michezo nchini Tanzania mtabadilika.

Manara kawapa Dozi Mujarab sana tu.
 
Umeongea Ujinga Sana
 
Mnaomfuatilia huyu mna kazi.

Manara kichwa yake imeota sugu kwani ana uwezo wa kuwaimbisha Yanga singeli anayotaka hata wakiwa elfu moja...ukisikiliza hiyo voice note kuna mahali ametamba wazi kuwa waandishi hao na wengine hawamuwezi ila waende wakashughulikie matatizo yao huko Yanga na akatoa mfano wa Yanga kutokufanya mkutano mkuu wa mwaka kwa miaka mitatu mfulilizo yeye wamwache na Simba yake na ni Simba kweli
 
Kwani kasema uongo? Meck mexime alipo tamka yale maneno yake mlipongeza, ila huyu kwakua ni Mtu wa Simba Sc anaonekana kuwa kavika mipaka sio? Hebu acheni unafiki wenu wa kipumbavu, hasira za kutokufanya viziru team yenu mnataka mzihamishie kwa wengine.
Sasa hivi wachambuzi wengi wa michezo wanaiponda Simba kwasababu ya chuki ya Mafanikio ya ya mpira.
Yanga wana inferiority complex ya kukosa ubingwa mara nyingi ili waonekane wanaonewa na TFF.
Manara aliwaonya mwanzo kabisa aa ligi, waache kuzurula na kupaka rangi Nywele na kusubiri wapinzani wa Simba Airpot wafanye mazoezi hawakusikia.
 
Shaffih

IMG-20210511-WA0011.jpg
 
EFM.
siku ya mechi ya Simba na dodoma mji.
Wakati wakiwa kwenye kipindi Chao cha michezo walishauri kuwa sababu Samia atahutubia Bunge ilitakiwa mechi hyo ichezwe saa 8 mchana au isogezwe mbele muda sababu wananchi watakuwa bize na hotuba.
Cha ajabu mechi ya Simba na utopolo imesogezwa mbele sababu ya rais alikuwa anataka kuangalia hyo MECHI.wamegeuka
 
Back
Top Bottom