Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimsikia kabisa huu ushauri.. Lakini ndo yale yale tunasema Unafiki umekithiri sana.
Manara mwizi wa vifaa vya magari, alishawekwa sana ndani msimbazi, so ni muhalifu mzoefu, hata kutukana kwake ni kosa dogo ndio maana akamalizia kwa kusema hawawezi kunifanya chochote.Huyu Manara ameshafanya mengi sana ya kipuuzi watu wanamuangalia tu
Kiufupi amevuka mipaka AWAJIBISHWE na sheria ichukue mkondo wake maana anavuka mipaka
Sasa TFF inahusikaje hapa?Wakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.
Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara
Ni ngumu sana wote kukubalianakwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).
Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti
Hivi wakigoma kuzungumzia Simba nani ataathirika, Simba ni timu siyo tu inazungumziwa Tanzania bali afrika nq duniani wanaijua. Caf wataizungumzia, Kenya, Zambia, Rwanda, Misri, Africa kusini wataizungumzia, Tunisia, ufaransa na kwingineko wataizungumziakwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).
Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti
Kwa akili zenu fupi wewe na Manara mnadhani Derby ni Simba na Yanga tu! Hivi mnajua Yanga na KMC,Simba na Azam,Yanga na Azam,Simba na KMC,Azam na KMC zote hizo ni Derby? Hivi unajua Mbeya City na Ihefu au Pamba na Mbao FC pia ni Derby? Usiishi kwa kukariri mkuu!Back to Back 10 years alizozitangaza Manara Zinawatesa Sana Utopolo..... na Mechi hizi za Derby mtazikimbia sana..!
Najiuliza, kwa mdomo mchafu alionao huyo zeruzeru, asingezaliwa zeruzeru ingekuwaje?
Bado FA inakujaBack to Back 10 years alizozitangaza Manara Zinawatesa Sana Utopolo..... na Mechi hizi za Derby mtazikimbia sana..!
Aiseh ngoja tuchek mwsho km stering atauwawa au laWakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.
Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara
Tukuulize wewe sasa ambaye haujazaliwa zeruzeru, unafahamika kwa Kipi Tz? Tafuta hela, usije ukafa kibudu.Najiuliza, kwa mdomo mchafu alionao huyo zeruzeru, asingezaliwa zeruzeru ingekuwaje?
Unajua maana ya derby?Kwa akili zenu fupi wewe na Manara mnadhani Derby ni Simba na Yanga tu! Hivi mnajua Yanga na KMC,Simba na Azam,Yanga na Azam,Simba na KMC,Azam na KMC zote hizo ni Derby? Hivi unajua Mbeya City na Ihefu au Pamba na Mbao FC pia ni Derby? Usiishi kwa kukariri mkuu!
Joka walilolifuga limewageukiaWakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.
Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara