Haji Manara: Wachambuzi wa michezo ni wanafiki na takataka

Huyu zeruzeru akipewa za uso anaanza kulia lia kwa kutaka huruma... Hapo ameshiba nyagi,fahari ya Taifa.
 
Najiuliza, kwa mdomo mchafu alionao huyo zeruzeru, asingezaliwa zeruzeru ingekuwaje?
 
Huyu Manara ameshafanya mengi sana ya kipuuzi watu wanamuangalia tu

Kiufupi amevuka mipaka AWAJIBISHWE na sheria ichukue mkondo wake maana anavuka mipaka
Manara mwizi wa vifaa vya magari, alishawekwa sana ndani msimbazi, so ni muhalifu mzoefu, hata kutukana kwake ni kosa dogo ndio maana akamalizia kwa kusema hawawezi kunifanya chochote.
 
Wakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.

Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara
Sasa TFF inahusikaje hapa?
 
kwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).

Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti
Ni ngumu sana wote kukubaliana
Kumbuka issue ya Makonda
 
kwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).

Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti
Hivi wakigoma kuzungumzia Simba nani ataathirika, Simba ni timu siyo tu inazungumziwa Tanzania bali afrika nq duniani wanaijua. Caf wataizungumzia, Kenya, Zambia, Rwanda, Misri, Africa kusini wataizungumzia, Tunisia, ufaransa na kwingineko wataizungumzia
 
Usisahau pia hao waandishi uchwara biashara zao za magazeti zitadoda
 
Back to Back 10 years alizozitangaza Manara Zinawatesa Sana Utopolo..... na Mechi hizi za Derby mtazikimbia sana..!
Kwa akili zenu fupi wewe na Manara mnadhani Derby ni Simba na Yanga tu! Hivi mnajua Yanga na KMC,Simba na Azam,Yanga na Azam,Simba na KMC,Azam na KMC zote hizo ni Derby? Hivi unajua Mbeya City na Ihefu au Pamba na Mbao FC pia ni Derby? Usiishi kwa kukariri mkuu!
 
Wakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.

Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara
Aiseh ngoja tuchek mwsho km stering atauwawa au la
 
Ukitazama kwa makini, utagundua kuwa hapa nchini hatuna wachambuzi wa soka bali kuna watu wanaokaa kwenye vituo vya redio wakizungumizia soka......kuna tofauti kubwa kuongelea soka na kulichambua soka........

Labda kwa mbali Mwl Kashasha......
 
Manara ile rangi yake anatumia kama silaha kiboko yake alikuwa Jerry muro
 
Najiuliza, kwa mdomo mchafu alionao huyo zeruzeru, asingezaliwa zeruzeru ingekuwaje?
Tukuulize wewe sasa ambaye haujazaliwa zeruzeru, unafahamika kwa Kipi Tz? Tafuta hela, usije ukafa kibudu.
 
Kwa akili zenu fupi wewe na Manara mnadhani Derby ni Simba na Yanga tu! Hivi mnajua Yanga na KMC,Simba na Azam,Yanga na Azam,Simba na KMC,Azam na KMC zote hizo ni Derby? Hivi unajua Mbeya City na Ihefu au Pamba na Mbao FC pia ni Derby? Usiishi kwa kukariri mkuu!
Unajua maana ya derby?
 
Wakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.

Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara
Joka walilolifuga limewageukia
 
Back
Top Bottom