hivi ninyi mnategemea kamtu kana miaka zaidi ya 50 aoe binti chini ya 30,binti mwenyewe umbile lile, halafu wafike mbali? kuna mzee mmoja alinishauri usinunue injini zeezee ya gari na kuweka kwenye bodi jipya. uzee wa ile injini utajitokeza tu hata ufanyeje.