Acha wivu au nawe mtumwa wa TFF🤔Katika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa na lundo la walinzi.. kwenu TFF
Nyie watumwa wa TFF mnamatatizo sana na wengi wenu ni Wana 🦁Hatakiwi hata kusikiliza Kipindi cha michezo radioni kama huo mchezo utakuwa wa miguu.😁
Adhabu kali ielekezwe hadi kwa Yanga na Manara mwenyewe.
lakini cha ajabu eti anaruhusiwa kupost kwenye accounts zake mambo ya soka. Pia anaruhusiwa kuingia uwanjani kuchek mechi ya SOKA. Unalijua hilo?... adhabu yake ilikuwa kutojihusisha na na soka for 2 yrs. u-MC wake leo ilikuwa kuwatambulisha WACHEZAJI (wa soka) wa KLABU YA YANGA (ya soka), Uwanja wa Taifa kwenye MECHI (ya soka) kati ya YANGA (ya soka) na Vipers (ya soka).
Matukio yote yaliyofanyika Taifa leo keyword ni SOKA. Haihitaji hata kujua sheria, simple logic tu inatosha kufikia conclusion.
Mkuu kosa langu ni lipi hapo??? Kuleta taarifa humu jukwaani ?A
Acha wivu au nawe mtumwa wa TFF[emoji848]
Kuna watu huwa hawasikii hadi wabanwe na damu iwatoke masikioni.
Time will tell. Ila Manara amecheza tu akili za hao TFF. Sasa kama haruhusiwi hata kuwa mshereheshaji kwenye matukio mbalimbali, basi wangempeleka Ukonga au segerea.
Alilipwa as mcKatika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa na lundo la walinzi.. kwenu TFF
Sikutegemea huo uongozi mpya wa Yanga, ungeruhusu hilo kutokea. Kwa hilo, inaonyesha ni kwa jinsi gani hawafai. Ile adhabu, hata kama ni ya uonevu, ilikuwa inatakiwa kufuata taratibu za kuipinga!Hii ni dharau kwa Shirikisho la Soka Nchini na kuharibu mpira wa miguu Tanzania.
Nakuja na Uzi wa Kulizungumzia hili la Manara na Uongozi wa Yanga SC hivyo stay tuned Mkuu.Heheheheh
Ngoja nimuite Popoma mwandamizi GENTAMYCINE amuone kijana wake akiwa ametoroka jela
Hawa jamaa ni wahuni,Huyo hata akipelekwa FIFA atafungiwa Lakini analo kundi linalompa sapoti hasa hao viongozi wa Yanga, maana hao wangekua wanasimamia sheria lakini hawajali.
On serious note.Nakuja na Uzi wa Kulizungumzia hili la Manara na Uongozi wa Yanga SC hivyo stay tuned Mkuu.
Yanga ilidhaniwa kuwa imepata viongozi vijana na wenye weledi kumbe ni wahuni watupu. Viongozi wenye weledi hawawezi kuruhusu upuuzi wa aina ileOn serious note.
Uongozi wa Yanga wanapaswa kuadhibiwa kwa kudharau maamuzi ya TFF
Mambo ya mpira yanahusu TFFYanga sio wajinga na hio event haihusiani na ligi na wala TFF haiwahusu.
Ni sawa na kutaka kumfungia mtu kushiriki hata mambo binafsi ya kifamilia kama birthday ya watoto wake, n.k
Umeandika kwa umakini mkubwa Sana[emoji106]Kisheria alikuwa anaruhusiwa kuja kama shabiki yani akae jukwaani
Ila hii ya kuja kwenye steji na kushika mic kuanza kusherehesha naona ni ishara ya jeuri kuipuuza mahakama
Nadhani wiki lijalo tutegmee kuona mfululizo wa misamaha tena.
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi naona kafikiria akaona hii siku akiiacha ipite hivi hivi bila kuonekana wala kusema chochote ataonekana hana impact kwenye club
Kaamua kujitokeza ili baadaye awe na kauli ya kusema kupitia brand yake aliweza kushawishi umati mkubwa kuja uwanjani.
Mambo ya kiki haya ni kutafutiana lawama baadae uanze kulia TFF inamuonea kwasababu raisi ni shabiki wa Simba.
View attachment 2316274
View attachment 2316276