hajielewi

hajielewi

Huyo baba hana lolote, hatafika popote tena analea wawili kwa mpigo. Mwambie dada atulie kama yupo movie theater anaangalia picha iliyotoka jana.

Nampa pole kaka kwa sababu ametupa lulu. Wacha alee.

Kwanza nampongeza kwa kuamua kutoka, maana kuendelea kuishi hapo atazeeka kabla ya wakati. Tunajua alimpenda sana, mwambie assume huyo hubby amekufa na tumemzika pale K'ndoni. Achague kaburi lolote lile akaweke maua akimtakia marehemu (mumewe) buriani. Stupid!
.

Hebu nipe simu ya huyo dada niongenaye kiundani, maana napandwa hasira vibaya sana na huyu kiumbe anayeitwa mwanaume, au anabadilishwa majina kila wakati, buzi, ATM n.k.
 
na ni kweli mke alikuwa lulu, anajishughulisha haswaaa jamani ili familia yake ikiwemo na baba waishi vizuri matokeo yake ndio hayo.
 
Nampa pole huyo dada jamani. la msingi kama kweli hataki mambo ya mahakamani amwachie mungu na kumtulia yote hayo mungu hamtupi mja wake. Aamini anaweza hata bila huyo mwanaume. Asahau na kuendelea na maisha tena kwa kasi ya ajabu hadi jamaa ang'ae sharubu.
 
heshima kwako pia kaka kipenzi.

tulikuwa tunaongea nae juzi, mmoja akamshauri adai haki yake, aligoma! akasema anamwachia mungu tu kwa sasa wacha atulie na mwanae aanze moja,na ndivyo alivyofanya hakuchukua kitu hata ki1 ndani zaidi ya nguo zake na za mwanae tu furniture zote ni mali yake but aliziacha.. jana alienda mahali kutafuta kiwanja aanze kujenga,anajaribu kusahau sasa atleast tunaweza kuongea 1 hour bila kukumbuka na kuanza kuliaa....

Nyamayao, shalom.

That is a positive way foward. Msaidie sana aendelee kujisimamia. Pili, mwambie akili kichwani this time kila kitu afanya kwa kutumia jina lake. Hata document zote alizo nazo aziifadhi sehemu salama kama RITA.

Shadow.
 
shalom shadow!

kwasasa amejielewa/amejiunza kutokana na makosa,sidhani kama atarudia yaliyopita.
 
nyama yao siku izi hakuna adhabu ya kifo!!!so achana nae huyo asije akakuua akaendelea kutumbua maisha na sheria zenu mbofumbofu huku ujulikani uko kwa

upande gani/moto/barid/vuguvgu
 
Back
Top Bottom