ChaMtuMavi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2008
- 330
- 9
Huyo baba hana lolote, hatafika popote tena analea wawili kwa mpigo. Mwambie dada atulie kama yupo movie theater anaangalia picha iliyotoka jana.
Nampa pole kaka kwa sababu ametupa lulu. Wacha alee.
Kwanza nampongeza kwa kuamua kutoka, maana kuendelea kuishi hapo atazeeka kabla ya wakati. Tunajua alimpenda sana, mwambie assume huyo hubby amekufa na tumemzika pale K'ndoni. Achague kaburi lolote lile akaweke maua akimtakia marehemu (mumewe) buriani. Stupid!.
Hebu nipe simu ya huyo dada niongenaye kiundani, maana napandwa hasira vibaya sana na huyu kiumbe anayeitwa mwanaume, au anabadilishwa majina kila wakati, buzi, ATM n.k.