Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
-
- #61
Anatumia media,alichoandika hapo hata robo hakifiki........nadhani ulemavu wake umemuathiri sana hadi anashindwa kujua aongee niniKitendo cha Kuanzishwa Nyuzi 7 pale tu haji Manara anapopost kitu Insta nadhani utapata jibu ya ulichokibeza.
Manara kaleta sana hamasa kwa kwa mashabiki wa Simba, pambaneni na hali yenuSimba ni timu kubwa ila haina msemaji, mwenye sifa za kuisemea Timu.Manara anaongea kama mtu wa siasa na si Timu kama Simba. Ata sababisha maafa kwenye mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utashangaa wamejaa leo bila hayaSawa, Kesho nendeni uwanjani na jezi zenu za kijani na njano na nyeusi.
Kupitishwa kwenye chama agombee ndo changamoto kubwa.Soon atatangaza tu jimbo,mwenzie Kitenge tayari ameshaweka wazi atagombea Dar,japo chama hajasema
Yanga ndo ccm hata Kwenye jengo lao wamebandika picha kubwa ya mgombea urais ccm 2015ni msemaji wa CCM na Simba.
so, labda Simba = CCM.
sijui mimi....natumia arithmetics logic tu!
Anatumia media,alichoandika hapo hata robo hakifiki........nadhani ulemavu wake umemuathiri sana hadi anashindwa kujua aongee nini
Manara anaongea upuuzi,Ten anaakili zake timamuSasa mbona Dismas 10 yeye akiongea hamufungi Nyuzi hata mbili?
Lakini akiongea Manara munafungua Nyuzi zinamfika mpaka 10.
Hamuoni kuwa Manara ni Brand kubwa?
Asingekuwa kichaa asingekuwa Maarufu
Nchi Hii ili upate umaarufu lazima akili uzipeleke likizo
Sasa hivi Kila Mtu Pieree Pieree ukiuLiza ndio nani unaambiwa Mlevi wa Taifa Hakuna Maelezo ya ziada zaid ya Kuwa Mlevi Na amepata umaarufu Na kawa Maarufu mpaka kurekodi Matangazo ya Biashara
Acha twende hivyo hivo
Mkuu mbona kama umemuonea wivu mwenzio amekula maisha anapambana na hali yake alafu sio pombe kuna walevi na sio masuperstar jamaa umaarufu wake ni maneno yake yamekua kivutio tafuta na we kitu chakwako utatoka tu kimaisha hii hata ulaya sio bongo ni dunia nzima mkuu huku kwetu ndo tumeanza juzi tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimuone Wivu kwa jambo gani sasa ?
Radio ya SSBUFM Ndiyo nini?