Hajji Manara anatatizo linalohitaji tiba

Hajji Manara anatatizo linalohitaji tiba

Kitendo cha Kuanzishwa Nyuzi 7 pale tu haji Manara anapopost kitu Insta nadhani utapata jibu ya ulichokibeza.
Anatumia media,alichoandika hapo hata robo hakifiki........nadhani ulemavu wake umemuathiri sana hadi anashindwa kujua aongee nini
 
Anatumia media,alichoandika hapo hata robo hakifiki........nadhani ulemavu wake umemuathiri sana hadi anashindwa kujua aongee nini

Sasa mbona Dismas 10 yeye akiongea hamufungi Nyuzi hata mbili?
Lakini akiongea Manara munafungua Nyuzi zinamfika mpaka 10.
Hamuoni kuwa Manara ni Brand kubwa?
 
UKIJIJUA WEWE NI SHABIKI WA YANGEYANGE,YEBOYEBO,NDALA,MALOFA FC,MASUFURIA FC,MIBAKULI FC,OMBAOMBA FC,VYURA FC, BASI JUA KUWA AKILI ZAKO HAZINA TOFAUTI NA MJUSI................
 
Manara msahaulifu,amesahau kocha wake msaidizi na Lyon walichokifanya.

111111.PNG
 
Mimi ni simba ila Hajji anakosea... huo uoga wake aweke mfukoni.
Zahera sio simba kumlazimisha awe upande wetu ni upungufu mkubwa wa uelewa.
 
Hii ndiyo Faida ya ZUHURA kuwaacha Vyura na kukimbilia Umbeya kwa Vita! Munaona sasa Lipuli ameshawala Kiboga...
 
Sasa mbona Dismas 10 yeye akiongea hamufungi Nyuzi hata mbili?
Lakini akiongea Manara munafungua Nyuzi zinamfika mpaka 10.
Hamuoni kuwa Manara ni Brand kubwa?
Manara anaongea upuuzi,Ten anaakili zake timamu
 
Asingekuwa kichaa asingekuwa Maarufu

Nchi Hii ili upate umaarufu lazima akili uzipeleke likizo

Sasa hivi Kila Mtu Pieree Pieree ukiuLiza ndio nani unaambiwa Mlevi wa Taifa Hakuna Maelezo ya ziada zaid ya Kuwa Mlevi Na amepata umaarufu Na kawa Maarufu mpaka kurekodi Matangazo ya Biashara

Acha twende hivyo hivo

Mkuu mbona kama umemuonea wivu mwenzio amekula maisha anapambana na hali yake alafu sio pombe kuna walevi na sio masuperstar jamaa umaarufu wake ni maneno yake yamekua kivutio tafuta na we kitu chakwako utatoka tu kimaisha hii hata ulaya sio bongo ni dunia nzima mkuu huku kwetu ndo tumeanza juzi tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimuone Wivu kwa jambo gani sasa ?
 
Vyura bhana! Wameiacha Yanga wakaikomalia Vita, Hatimae kotekote wameliwa 😀😀
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nimuone Wivu kwa jambo gani sasa ?

Sababu ya kuwa maarufu mbona wengi mwingine steve kulia lia wa yanga kisa kulia amekua maaruf haya dogo mwingine jana tayar amekua ameanza kua maarufu kisa simba vitu tofauti kwa jamii ndivyo inavyokua na sio tanzania pekee alafu hii ni nguvu ya social media ndio maana kama uwezi kujilipua tulia acha watu watafute maisha ndugu mana hii sizani kama inakualibia siku zako hapa duniani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukimuajiri bubu tena mshamba kama msemaji ndio matokeo yake unatembeza bakuli kila kukicha. Manara anaifanyia Simba kazi kubwa sana.
 
Daaaa!!!!!!! nimeamini nyie watoto wa jangwani hamnazo kabisa. ushahidi ni kwenye huu uzi, jana mlifunguka kumtukana manara zikafika hadi page 5 lkn mlipofungwa na lipuli na kubonyezwa na simba hamjaonekana tena humu.... pumbfu sana!!!
 
Njaa mbaya saizi watu wamekuwa wachambuzi hatari ni kipindi cha mpito watani mtulie kama na sisi tulivyokuw tunatulia ubingwa mmetuibia tulitulia mtulie dawa imeukuta ugonjwa hakuna namna [emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom