Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke .
Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara
Endapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu